Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni vizuri ukafafanua zaidi. je, ulishurutishwa katika mazingira gani? na waliokushurutisha ni watu gani?Wakuu nina shida ya kisheria..nimeshurutishwa kutoa simu yangu na kupekuliwa pasipo kibali cha mahakama wala police nahitaji kufungua kesi na kudai fidia
Mkuu naomba kama ni mwanasheria niambie nije inbox tuyajengeMkuu ni vizuri ukafafanua zaidi. je, ulishurutishwa katika mazingira gani? na waliokushurutisha ni watu gani?
naomba mwenye hii kesi anisaidieHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
jamani msaada, statutory 90 days to sue gov lazima iandikwe na wakili au mdai mwenyewe unaweza kuandika?Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
MKuu, nilipotea kwa mda. Bila shaka hakuna kilichoharibika. Kesi yako hii hapa..Mwenye kesi hii naomba anisaidie please Dragoon
Tanzania Breweries Ltd vs. Edson Muganyizi Barongo and 7 Others: Misc Labour Application No. 79 of 2014: High Court of Tanzania (Labour Division) at Dar es Salam (Unreported).
Hakuna requirement inayolazimu notice iandikwe na wakili, wala hakuna prescribed form. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye interest na madai anaweza andika statury notice.jamani msaada, statutory 90 days to sue gov lazima iandikwe na wakili au mdai mwenyewe unaweza kuandika?
Dragoon, ulipotea sana, we have suffered a lot. Karibu sana tena sana. nshukuru kwa kesi hii. Barikiwa sana.MKuu, nilipotea kwa mda. Bila shaka hakuna kilichoharibika. Kesi yako hii hapa..
Thanks a lot!Hakuna requirement inayolazimu notice iandikwe na wakili, wala hakuna prescribed form. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye interest na madai anaweza andika statury notice.
Kuna tatizo naliona. Unapo mserve AG, how do you do it, maana ukiituma kwa posta huko mbele atakana kuwa was not served. Unafanyaje kuweka ushahidi kuwa kipata notice?Hakuna requirement inayolazimu notice iandikwe na wakili, wala hakuna prescribed form. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye interest na madai anaweza andika statury notice.