Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok my fellow Learned counsel. ninazo na nitakupostia hapaLearned counsel naomba kama una court brokers & process serve rules GN 315/1997 kuna court brokers nataka niwadeal kinidhamu!. Nina amendments pekee za 1997, 2000, na 2008.
Great!....my fellow member of the BarOk my fellow Learned counsel. ninazo na nitakupostia hapa
Nakusubiria Mkuu tafadhali sana.Mkuu Retired Kazi yako nilishaifanya, ina attachment hivyo niliona ni bora nikakutumia na hiyo attachment, kazi iko kwenye PC yangu na sikuwa na access nayo siku za hivi karibuni. Nilisharejea na soon nitaku PM. Kuhusu ombi lako la pili pia nitakupatia document hiyo, nitaiweka hapa jukwaani. Ahsante kwa uvumilivu na karibu sana.
Naomba unisaidie ile inbox letter tafadhali naihitaji kupata maoni yako please.Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Dragon unaweza kunielekeza wapi nitapata vitabu on presidential orders. executive orders au kama uanvyo niwekee hapa pleaseHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Precisely your honor.GN 315/97 is on post learned counsel
Hey my Lord/your honor....this is not the one (Principal rule GN 315) This is its amendments (GN 764/1997) which amended the principal rule. The said principal rules (i.e GN 315) have been amended in 1997, 2000 & 2008. ALL the amendments are at my doorstep I NEED the principal rules my learned brother if you have!.GN 315/97 is on post learned counsel
Kamata hizi mkuu, zitakusaidia sanaConsider ombi langu pia mkuu.
ASANTE NIMEONA, JAMANI THANKS A LOTMkuu Retired chungulia PM yako kuna meseji kwa ajili yako plse
Mkuu hii doc inaonekana iko corrupted. Please resend! AppologyLabour Court Rules hizi hapa mkuu, pia kwa faida ya wadau wengine