Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Learned counsel naomba kama una court brokers & process serve rules GN 315/1997 kuna court brokers nataka niwadeal kinidhamu!. Nina amendments pekee za 1997, 2000, na 2008.
 
Learned counsel naomba kama una court brokers & process serve rules GN 315/1997 kuna court brokers nataka niwadeal kinidhamu!. Nina amendments pekee za 1997, 2000, na 2008.
Ok my fellow Learned counsel. ninazo na nitakupostia hapa
 
Mkuu Retired Kazi yako nilishaifanya, ina attachment hivyo niliona ni bora nikakutumia na hiyo attachment, kazi iko kwenye PC yangu na sikuwa na access nayo siku za hivi karibuni. Nilisharejea na soon nitaku PM. Kuhusu ombi lako la pili pia nitakupatia document hiyo, nitaiweka hapa jukwaani. Ahsante kwa uvumilivu na karibu sana.
Nakusubiria Mkuu tafadhali sana.
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Naomba unisaidie ile inbox letter tafadhali naihitaji kupata maoni yako please.
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Dragon unaweza kunielekeza wapi nitapata vitabu on presidential orders. executive orders au kama uanvyo niwekee hapa please
 
Hello my fellow learned brother. Am waiting for GN 315/1997 as u promised.
 
GN 315/97 is on post learned counsel
Hey my Lord/your honor....this is not the one (Principal rule GN 315) This is its amendments (GN 764/1997) which amended the principal rule. The said principal rules (i.e GN 315) have been amended in 1997, 2000 & 2008. ALL the amendments are at my doorstep I NEED the principal rules my learned brother if you have!.
 
Attachments

Attachments

Mkuu Dragoon,

Naomba kesi zinazotoa muongozo pale ambapo shahidi anapeleka exhibits mahakamani bila kuwa na signature yake.

Kesi hizo zinaweza zikawa za hapa Tanzania au hata Kesi za mbele.
Anza na hizi mkuu.
 
Attachments

Back
Top Bottom