Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Inakataa, corrupted. ngoja niulize corrupted doc unaweza kuirekebisha vipi ikafunguka.
Ok Mkuu, ulizia, ukipata jibu nijulishe, maana kwangu inafunguka vizuri tu
 
Hon. Dragoon kukata rufaa kutoka baraza la Ardhi la kijiji kwnd baraza la juu (mfn WT, DLHT) inatakiwa ifanyike ndan ya siku ngapi kuanzia ck ya uamuzi???
 
Mkuu sagaciR , Mamlaka na maamuzi ya Baraza la Ardhi ya kijiji limetokea kuwachanganya wengi sana. Maamuzi ya baraza la Ardhi la kijiji sio appellabe. Baraza la Ardhi la kijiji likitoa maamuzi yake na ikatokea kuna upande mmoja au pande zote hazijaridhika ma maamuzi hayo option pekee iliyoko ni kufungua shauri Katika baraza la Ardhi la kata (au DLHT, kulingana na jurisdiction inavyohitaji). Shauli litakalofunguliwa Kata au Wilayani linakuwa fresh suit, as if hakukuwa na shauli katika baraza la Kijiji. Vilevile Hakuna Statute inayotoa appeal procedure kutoka Village Land Tribunal, na ikitokea mtu akakatia rufaa au kuomba revision ya maamuzi ya baraza la ardhi la kijiji basi hiyo appeal au revision ni incompetent na haitasimama katika mahakama au baraza lolote lile.
 
Admitted, my Lord.

Nimeuliza hii coz nimekutana na suit VLC wanakataa aggrieved party kukata rufaa kwnd mbele eti yuko "time barred" kwa kuwa 40 dys have lapsed from the date of decision. Wao wanamwambia angekata hiyo rufaa within 40dys. Bt my understanding Sheria Na. 5/1999 na 2/2002 hakuna kitu km hicho. Nikaona let me share idea with my fellow Learned Legumist.
 
Huyo aggrieved party hakuwa na ufahamu wa taratibu. Lakini hata ikitokea party kama huyo, ambao mara nyingi wanakuwa ni laymen, anataka kukata rufaa dhidi ya maamuzi ya baraza la kijiji, members wa baraza hilo wangetakiwa kutumia section 9 ya the Land Disputes Courts Act ambayo inalitaka baraza la kijiji ku-refer shauli kwa baraza la kata. na huko litafunguliwa kama shauri jipya na si kama rufaa.
 
unaweza kunitumia email yako inbox mkuu
Mr. Dragon kama unakesi yoyote ya money laundering kutoka mahakama za tanzania naomba uniwekee hapa. Nakuomba ungetoa somo kuhusu ingredients za money laundering and defence. Nimesearch hakuna kabisa humu! very strange.
 
Hi Counsel Dragoon....hv uko aware na hatua ya kuchukua mtu astumie ward tribunal akaenda 1kwa 1 DLHT?? (Mfn issue of law km ipo) lakn thaman ya shamba ni less than 3,000,000?
 
Mkuu, umenipa wazo zuri sana, ambalo ni faida kwa legal profession hapa tz. Sasa nalifanyia kazi, soon nilaweka Article humu kuhusu yote yahusuyo Money Laundering. Hongera sana mkuu kwa kutupatia mwanga huu
 
asante nikushukuru wewe kwa ukarimu wako. Watu wengi hawako kama wewe. Asante sana.
 
Hi Counsel Dragoon....hv uko aware na hatua ya kuchukua mtu astumie ward tribunal akaenda 1kwa 1 DLHT?? (Mfn issue of law km ipo) lakn thaman ya shamba ni less than 3,000,000?
Mkuu hiyo procedure ipo. Shauri linaweza kupelekwa DLHT moja kwa moja pasi kupitia ward tribuna hata kama thamani ya subject matter ni chini ya million tatu. Mfano ni katika kesi zinazomhusu mwanasheria mkuu wa serikali (kesi dhidi ya serikali). Hapa kesi inaweza funguliwa DLHT iwapo eneo hilo halina registry ya High Court. Pia kama shauri linahusu serikali za mitaa (local goverment) kama vile manispaa kesi inaweza hamishiwa DLHT badala ya ward tribunal, dhumuni likiwa ni kufuata procedure za kese za madai zilizo wekwa kisheria.
 
Back
Top Bottom