Legend AY: Tunaomba uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili kuokoa ugomvi wa mashabiki

Wapatanishwe ili kiba afe njaa?
Hivi hujajua Jina Diamond livyopeleka Ugali kwa Ukoo/familia ya Kiba..?!!?
 
Sasa Kama Ni Hivyo Ni Kwanini Mambo Yakitulia Kidogo Alikiba Anayaibua Kwa Kumrushia Diamond Vijembe Vya Hapa Na Pale.Kwanini Asiache Kabisa Kuwa Anamtaja Au Hata Kumfuatilia Na Kumsema Diamond Kwenye Media.Maana Yeye Naona Hataki Kabisa Kumzungumzia Ila Yeye Ndo Kakomaa Nae Halafu Anajishughulisha Na Wabaya Wa Diamond Au Huoni?
 
Ushahidi aangalie mahojiano yake na Sporah ya hivi karibuni!
 
Ali K bila bifu haiwedhekani mnataka arudi kama Zamani?
Akikubali mapatano ataitwa THE RETURN OF THE FAILED KING IN THE MUSIC.
¶DIAMOND PLATNUMZ IS BETTER THAN OTHER ARTIST IN TANZANIA NOWADAYS. ¶
 
Mkuu hizi sio bla bla kweli?
 


Mkuu ahsante sana, uko vizuri aisee, nakuombea huo ujasiri uupate soon, uje uwataje, maana hii nchi ni yetu sote, haiwezekani baadhi ya watu waamue maisha ya wengine!
 

Asante kwa kutufumbua macho kujua kilicho nyuma ya pazia , inamaana alishawahi kuwa punda akaamua kuachana na hiyo biashara ndo wanamsakama ili arudie upunda au wanamsakama ili iweje kama mtu ameamua kutulia na kutowataja?
 
Asante kwa kutufumbua macho kujua kilicho nyuma ya pazia , inamaana alishawahi kuwa punda akaamua kuachana na hiyo biashara ndo wanamsakama ili arudie upunda au wanamsakama ili iweje kama mtu ameamua kutulia na kutowataja?
umesoma uzi wote au, maana majibu yako yapo humuhumu
 

waandishi ndo viazi ndo huwa wanamuuliza kuhusu diamond, nayeye lazima awajibu
 
sasa naanza kupata picha ya ukweli wa alikiba kulalamika video zake zinabaniwa kuchezwa huko MTV base, sound city n.k. nikiunganisha na kauli ya diamond aliyotoa majuzi kwamba video zote zinazotoka bongo hazichezwi MTV bila yeye kuidhinisha , hapo hilo genge lililo nyuma ya diamond kamwe halitakubali alikiba atusue ......

kama Mdogo Felali na Bibi Leta wapo nyumba ya hii muvi na walaaniwe kabisa!!!
 
Mkuu ahsante sana, uko vizuri aisee, nakuombea huo ujasiri uupate soon, uje uwataje, maana hii nchi ni yetu sote, haiwezekani baadhi ya watu waamue maisha ya wengine!


watakuwa Mdogo Felali na Bibi Leta
 
Rummy tajiri mfupi
 
Apologists at work.
Ali kiba yupo kama Ana jilasi na diamond. Ni mtu wa vijineno. Mazingira yanamweka hivyo, hajawahi kulalamika kuwindwa na wauza sembe popote pale..

Hata kama kuna wauza sembe wana mpiga jeki diamond.
Vipi wasanii wengine majority watasemaje na wao.
Mbona na yeye yupo team wema? Je Ana iamini team wema iliyohakikisha diamond anakosa tuzo?
Mbona diamond haongei sana...
Tuwe wakweli tu, diamond yupo juu sana kimuziki kuliko Ali kiba.

Hawalingani. Tuzo haitoshi kua bora kimuziki. Wako wasanii nchini bora sana hawana tuZo.
Nachukulia huu ni mkakati wa Ali kiba kupata huruma zA mashabiki. Lakini kazi zA diamond ni bora.
Hatukatai kua na maadui, lakini wako watu wame rise above hate.
Ali kiba bado sana kufikia viwango vya diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…