Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki binafsi hizo wewe.Alikiba hawezi kuukubali huo upuuzi, atakula wapi?
Sasa Kama Ni Hivyo Ni Kwanini Mambo Yakitulia Kidogo Alikiba Anayaibua Kwa Kumrushia Diamond Vijembe Vya Hapa Na Pale.Kwanini Asiache Kabisa Kuwa Anamtaja Au Hata Kumfuatilia Na Kumsema Diamond Kwenye Media.Maana Yeye Naona Hataki Kabisa Kumzungumzia Ila Yeye Ndo Kakomaa Nae Halafu Anajishughulisha Na Wabaya Wa Diamond Au Huoni?Hii wala sio habari mpya. Kwani ajali ilitengenezwa na kutokea 2011 huko. Kuvamiwa na silaha za kijeshi Kunduchi ilitokea mwaka juzi nadhani.
Alikiba huwa hamuongelei Nassib vibaya ila tafsiri tu ndo hujengwa kuwa kamsema Nassib.
Kuhusu kutoa taarifa!
Haya magenge yamejipanga mkuu ndio maana unaona hata alipovamiwa Kunduchi askari walifika zaidi ya dakika 20 baada ya tukio.
Uliwahi kusikia mkasa wa Betty Ndejembi aliyeokotwa akiwa amebakwa huku akiwa hajitambui na kufariki alipofikishwa pale Muhimbili?
Ukiujua mkasa huo ambao hata ZZK alijaribu kuubebea bango lakini akashindwa ndio utajua nguvu ya hili genge.
Ova
Ushahidi aangalie mahojiano yake na Sporah ya hivi karibuni!Sasa Kama Ni Hivyo Ni Kwanini Mambo Yakitulia Kidogo Alikiba Anayaibua Kwa Kumrushia Diamond Vijembe Vya Hapa Na Pale.Kwanini Asiache Kabisa Kuwa Anamtaja Au Hata Kumfuatilia Na Kumsema Diamond Kwenye Media.Maana Yeye Naona Hataki Kabisa Kumzungumzia Ila Yeye Ndo Kakomaa Nae Halafu Anajishughulisha Na Wabaya Wa Diamond Au Huoni?
Mkuu hizi sio bla bla kweli?Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.
Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib. Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.
Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.
Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz. Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.
Ova
mi bado sijamjua, unaweza kunijuza???Nimeshamjua,asante.
Nicheki private.mi bado sijamjua, unaweza kunijuza???
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.
Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.
Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.
Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.
Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.
Ova
umesoma uzi wote au, maana majibu yako yapo humuhumuAsante kwa kutufumbua macho kujua kilicho nyuma ya pazia , inamaana alishawahi kuwa punda akaamua kuachana na hiyo biashara ndo wanamsakama ili arudie upunda au wanamsakama ili iweje kama mtu ameamua kutulia na kutowataja?
bado hajaelewa huyu. ila kuna mengi aiseeumesoma uzi wote au, maana majibu yako yapo humuhumu
Sasa Kama Ni Hivyo Ni Kwanini Mambo Yakitulia Kidogo Alikiba Anayaibua Kwa Kumrushia Diamond Vijembe Vya Hapa Na Pale.Kwanini Asiache Kabisa Kuwa Anamtaja Au Hata Kumfuatilia Na Kumsema Diamond Kwenye Media.Maana Yeye Naona Hataki Kabisa Kumzungumzia Ila Yeye Ndo Kakomaa Nae Halafu Anajishughulisha Na Wabaya Wa Diamond Au Huoni?
Rummy tajiri mfupiHakufanya nao biashara yoyote, ila walitaka wafanye naye lakini aliwakatalia. Na kwa bahati mbaya hakuwajibiana vizuri na kumwekea visasi.
Kwa historia ya mkasa wake amekuwa hawaamini hao askari, kwa maana nyingine hategemei kama wanaweza kumpa msaada wa maana.
Nikwambie tu, mmoja wa walio kwenye hilo genge amekijenga kituo cha polisi kwa pesa zake.
Ova