Legend Salama Jabir afunguka, " Hajawai tokea msanii wa kike hodari kumzidi Zuchu kwenye bongofleva"

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
IMG-20220618-WA0000.jpg

Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.

Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*.

Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii dada yoyote heshima.
 
Hivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma.......Stara Thomas,Ray C,Jaydee..........hawa unaweza wafananisha na huyu bado ananuka maziwa ya mama yake bado?
 
Wewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.
 
Siku nyingine msiwe mnakurupuka, kwenye sanaa kuna uandishi na kuimba. Unaweza kuwa mzuri upande mmoja au ukawa mzuri kote.

Ray C anaweza kuwa mwimbaji mzuri lakini sio mwandishi mzuri, mfano halisi;

Christian Bella huwa anasema wazi kuwa yeye si mwandishi mzuri ila kwa kuimba hakuna mtu anamuweza bongo.

Salama amesema Zuchu ni mwandishi bora na sio mwimbaji bora au mwanamuziki bora. Mmenielewa watoto wadogo?
 
Wewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.

Bro kasema muandishi wa nyimbo sio msanii bora wa kike wa muda wote..

Zuchu anatunga na sio kitu cha kushangaza maana ipo kwenye DNA plus team inayomzunguka hawezi kutoa boko kirahisi

Ila Kuwa msanii wa kike mwenye mafanikio kuliko wote inawezekana sana Ila kuwa msanii bora wa kike wa wakati wote.. bado sanaa

Hajafika hata levels za Vanessa na hajagusa kabisa za Lady jay dee ama Ray C..

Kwangu mimi itachukua miaka mingi Bongo flava kuzalisha Ray C mwingine, yaani package ya sexiness, fashion, influence, vocals, dance moves, drama na scandals, star Power etc

I love jide but Ray C was a real deal
 
View attachment 2264455

Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.

Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*.

Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii dada yoyote heshima.
Hili suala ni kweli hasa ukizingatia discipline yake kwenye muziki wake
 
Kwanini uamini salama anajua mziki kuliko wengine?kila mtu ana sikio lake...

Kwa wakati huu, Nandy atabaki msanii bora wa kike kwa upande wangu..
Siamini ila ndio uhalisia. Wewe unapenda muziki wa Nandy ila mwanamuziki wa kike wa muda wote kwenye bongofleva ni Zuchu kwa mujibu wa nguli Salama Jabir.
 
Bro kasema muandishi wa nyimbo sio msanii bora wa kike wa muda wote..

Zuchu anatunga na sio kitu cha kushangaza maana ipo kwenye DNA plus team inayomzunguka hawezi kutoa boko kirahisi

Ila Kuwa msanii wa kike mwenye mafanikio kuliko wote inawezekana sana Ila kuwa msanii bora wa kike wa wakati wote.. bado sanaa

Hajafika hata levels za Vanessa na hajagusa kabisa za Lady jay dee ama Ray C..

Kwangu mimi itachukua miaka mingi Bongo flava kuzalisha Ray C mwingine, yaani package ya sexiness, fashion, influence, vocals, dance moves, drama na scandals, star Power etc

I love jide but Ray C was a real deal
Duh unamtaja mpaka Vanessa aliyekimbia muziki kwa kushindwa kutengeneza hitsong hata moja kwenye career yake 🥺
 
Back
Top Bottom