Nitajie hit song 5 za ray c
Afu huu upuuzi wenu skuizi wa hit song ndio unaharibu maana ya neno mziki mzuri.
Hits song siku hizi zinatengenezwa kwa mambo mengi, mfano: kiki, mitandao, promo kubwa kwasababu ya hela, ushabiki.
Nyimbo nyingi ni mbaya ila zimekuwa hit kwasababu ya hayo mambo.
kwa mfano, nyimbo ya baba lao, Kuna hizi za hawa sijui mabantu,
Zamani kulikuwa hakuna insta, sijui tiktok, hakuna hizo challenge mnazochezeshwa Kama wehu ili kupush nyimbo..
Kuna hizi chache za ray c
1.mapenzi matamu
2.uko wapi
3.mahaba ya dhati
4. Na wewe milele
5.watanionaje ft barnaba
6.mahaba ya dhati.
7. Umenikataa
8. Nihurumie ft chid benz
N.k.
Hapo kulikuwa hakuna kiki wala Nini, redio chache, tv mtaa mzima iko moja but still zilisikika.
Ukija kwa jide, dah [emoji3]
1.siwema
2. understanding ft tid
3. Siri yangu
4.silimba, jide and ngoni
5. Single boy, jide and kiba
6.mawazo
7. Kuna Ile anaimba lugha nyingi za east Africa (distance)
Huyo zuchu kwanza ashindane na akina nand na maua sama then ndio aje kwa hao.
N.b kulikuwa hakuna label miaka ya 2000+ na hata Kama ilikuwepo sio yenye fan base kubwa Kama wcb, so walifight kwa jasho na damu kufika hapo... Imagine wangekuwa kwenye peak muda huu! Ukiskia neno komando jide unafikiri limekuja kifala?