[emoji117]70Mil vws(sukari)....Hii ndiomaana ya hitsong yaan nyimbo inavuna wafuasi kwanzia mitaani, mpka mitandaoni, hawa ni baadhi ya views wa nyimbo moja ya zuchu ambao hawa huwez wapata kwa msanii yeyote wa kike ndan ya nchi hii ikiwezekana hata kwa East Africa, huyo nand na vanesa labda ukusanye nyimbo zao 20 ndio utapata thamani ya nyimbo moja SUKARI ya zuchu.
Tunaongea haya si kwa chuki bali ukwel unaopaswa kusemwa bila kuogopa wala kuwaofia haters hususan wanawake wenzie, nimeona humu jinsi wanawake mnavyompondea mwanamke mwenzenu ambaye kwa jitihada za kuinua muziki wa Tz zikife mbali nyie mnadharau, mnadharau wakat huko makwenu hata pesa ya bando inawasumbua.
Tupendane waTz mziki si uadui, ila inapaswa kuwapa heshima wale wanaostahili, na uzuri wa muziki haupimwi kwa uhodari wala ukongwe ktk game bali maajabu yako ya kufanikiw ktk muziki na kuwafanya wafuasi wengi wakuelewe na kukupenda.
Leo hii tukiwaambia vijana kwa nchi ya Tz hakuna msanii yeyote aliyewahi wala aliyepo wa kufikia level walizopo vijana wadogo akina diamond, alikiba na marioo, ndan ya muda mfupi wameweza kufanya makubwa ambayo hao wakongwe wenu wameshindwa licha ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu,
Muziki wa sasa hauhitaji ujuaji mwingi wala hizo mbanga zenu za ushamba, bali ubunifu, jitihada na kuusambaza muziki nje ya afrika.
La mwisho, bila WCB mybe na alikiba kwa mbali, muziki wa Tz ungekuwa hovyo sana, na vile Tz hatuna tujivunialo ktk tasnia ya michezo(mpira) basi wacha muziki utustili wasanii waiwakilishe nchi yetu vizuri
View attachment 2266068