Bro kasema muandishi wa nyimbo sio msanii bora wa kike wa muda wote..
Zuchu anatunga na sio kitu cha kushangaza maana ipo kwenye DNA plus team inayomzunguka hawezi kutoa boko kirahisi
Ila Kuwa msanii wa kike mwenye mafanikio kuliko wote inawezekana sana Ila kuwa msanii bora wa kike wa wakati wote.. bado sanaa
Hajafika hata levels za Vanessa na hajagusa kabisa za Lady jay dee ama Ray C..
Kwangu mimi itachukua miaka mingi Bongo flava kuzalisha Ray C mwingine, yaani package ya sexiness, fashion, influence, vocals, dance moves, drama na scandals, star Power etc
I love jide but Ray C was a real deal