sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wewe unaujua muziki kumzidi Salama?Hivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma.......Stara Thomas,Ray C,Jaydee..........hawa unaweza wafananisha na huyu bado ananuka maziwa ya mama yake bado?
Kwa Ray C nakuunga mkonoHivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma...
Kwanini uamini salama anajua mziki kuliko wengine?kila mtu ana sikio lake...Wewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.
Wewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.
Usisahau huyo unae mwita gwiji na kumsifia anajua mziki ndie alie mwambia harmonize hajui kuimbaWewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.
Stara? Ray c? Wachaga utaniHivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma...
Hili suala ni kweli hasa ukizingatia discipline yake kwenye muziki wakeView attachment 2264455
Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.
Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*.
Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii dada yoyote heshima.
Siamini ila ndio uhalisia. Wewe unapenda muziki wa Nandy ila mwanamuziki wa kike wa muda wote kwenye bongofleva ni Zuchu kwa mujibu wa nguli Salama Jabir.Kwanini uamini salama anajua mziki kuliko wengine?kila mtu ana sikio lake...
Kwa wakati huu, Nandy atabaki msanii bora wa kike kwa upande wangu..
Zuchu ni package yenye vyote so ni 🐐Siku nyingine msiwe mnakurupuka, kwenye sanaa kuna uandishi na kuimba. Unaweza kuwa mzuri upande mmoja au ukawa mzuri kote. ?
Duh unamtaja mpaka Vanessa aliyekimbia muziki kwa kushindwa kutengeneza hitsong hata moja kwenye career yake 🥺Bro kasema muandishi wa nyimbo sio msanii bora wa kike wa muda wote..
Zuchu anatunga na sio kitu cha kushangaza maana ipo kwenye DNA plus team inayomzunguka hawezi kutoa boko kirahisi
Ila Kuwa msanii wa kike mwenye mafanikio kuliko wote inawezekana sana Ila kuwa msanii bora wa kike wa wakati wote.. bado sanaa
Hajafika hata levels za Vanessa na hajagusa kabisa za Lady jay dee ama Ray C..
Kwangu mimi itachukua miaka mingi Bongo flava kuzalisha Ray C mwingine, yaani package ya sexiness, fashion, influence, vocals, dance moves, drama na scandals, star Power etc
I love jide but Ray C was a real deal