Ni kweeeli kila mtu anamtazamo wake lkn yeye aseme kwa kipindi/ zama za zuchu hakuna wa kumzidi maaana tukisema tumlinganishe na walio pita haiwezekani maana zama zimebadilikaView attachment 2264455
Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.
Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*.
Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii dada yoyote heshima.
Hahahahah bila shakaNamuona anavyojikomentisha kwa Zuu,
Nikasema kiharage cha Mtu kinawindwa [emoji23]
Halafu bimkubwa yule anajifanyaga Gangster mtu mgumu hahahah utadhani ana 12inches down there[emoji1787][emoji1787]kumbe mtoto wa kike tu mwenye baby soft na ngozi laiiiiinii!! KabjsaNamuona anavyojikomentisha kwa Zuu,
Nikasema kiharage cha Mtu kinawindwa [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo km sina uhakika wa vocha? Ko kumbe una sujudia huyo Zuhura kisa unapewa vocha? Samahan mie sio chawaaaah.Kwann niforce huyo msanii akubalike wakt wew mwenyew unamkubali bali roho yako mbaya ya wivu inakufanya umuonee wivu mwanamke mwenzako akiyekuzidi kila kitu.
Ni muda wenu kuamka kiakili si kila jambo lahitaji chuki na hasira, sapoti yenu kwa wanawake wenzenu ni nzur kulko kuwaponda, anyway hapo una uwakika wa vocha? Ama njaa ni tatizo
Waambieeee hawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio no body like me unakusanya nyimbo zote za Zuchu na change ina baki
Uandishi sio kuandika kitu cha maana bali kuwa na uwezo wa kuandika mashairi na ufanisi wake kama vile vina, mzani n.kZuchu ameandika wimbo gani wa maana?
Soma vizuri kama utaelewa ulichoandikaUandishi sio kuandika kitu cha maana bali kuwa na uwezo wa kuandika mashairi na ufanisi wake kama vile vina, mzani n.k
Wewe ndio usome vizuri maana mimi naelewa na nipo ndani ya Tasnia, kuwa na uwezo wa kuandika mashairi ni jambo jingine na kuandika jambo la maana ni kitu kingine, sijui unaelewa au nikupe mifano?Soma vizuri kama utaelewa ulichoandika
Kwahiyo mistari ya Sukari inakuvutia sana siyo?Wewe ndio usome vizuri maana mimi naelewa na nipo ndani ya Tasnia, kuwa na uwezo wa kuandika mashairi ni jambo jingine na kuandika jambo la maana ni kitu kingine, sijui unaelewa au nikupe mifano?
Mashindano ya Mkali wa Rhymes Professor Jay aliingia akiwa na wimbo wa maana sana wenye kuelimisha kuhusu Ukimwi unaoitwa Msinitenge, lakini alishinda Afande na wimbo wake uliojaa majisifu! Kwa nini? Uwezo wa Rhymes uliopo mule [emoji2]
Ney wa Mitego pamoja na nyimbo zake nyingi za kuelimisha na zenye kukosoa Serikali na kutetea wananchi, lakini huwezi kumlinganisha na Nikki Mbishi hata tu kwenye Vita ya Benghazi.
Narudia kukwambia kuwa uwezo wa kuandika ni kitu kingine na kuandika jambo la maana ni kitu kingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu sina hapa. UwiiiiihKwahiyo mistari ya Sukari inakuvutia sana siyo?
Unazungumzia maudhui kumbe? Watu wanazungumzia uwezo wa kuandika Rhymes bwana mdogo.Kwahiyo mistari ya Sukari inakuvutia sana siyo?
Unazungumzia maudhui kumbe? Watu wanazungumzia uwezo wa kuandika Rhymes bwana mdogo.
Lakini kwa nini nichoke kukupa darasa ilihali hujui kitu? Tunaendelea.....angesema Zuchu anaongoza kwa nyimbo zenye ujumbe hata mimi ningepinga sio wewe tu, angesema Zuchu ndiye Msanii wa kike mwenye Melody kali ningepinga pia na kumwambia amsikilize Ruby.
Lakini upande wa uandishi hakuna wa kumlimganisha nae kwa upande wa wanawake na hata mimi nilijua anaandikiwa pengine maana yupo karibu na Genge lenye ujuzi huo.
Ukibisha hili lete mwandishi wako na wimbo wake tuchambue vina kwa vina, mzani kwa mzani tuone!
Nilitaka kukomenti hivi...Unazungumzia maudhui kumbe? Watu wanazungumzia uwezo wa kuandika Rhymes bwana mdogo.
Lakini kwa nini nichoke kukupa darasa ilihali hujui kitu? Tunaendelea.....angesema Zuchu anaongoza kwa nyimbo zenye ujumbe hata mimi ningepinga sio wewe tu, angesema Zuchu ndiye Msanii wa kike mwenye Melody kali ningepinga pia na kumwambia amsikilize Ruby.
Lakini upande wa uandishi hakuna wa kumlimganisha nae kwa upande wa wanawake na hata mimi nilijua anaandikiwa pengine maana yupo karibu na Genge lenye ujuzi huo.
Ukibisha hili lete mwandishi wako na wimbo wake tuchambue vina kwa vina, mzani kwa mzani tuone!
We jamaa ni kiaziDuh unamtaja mpaka Vanessa aliyekimbia muziki kwa kushindwa kutengeneza hitsong hata moja kwenye career yake 🥺