Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Hapa Tanzania mifumo ya kuuza Kazi za wasanii bado haijakaa sawa.

Mfano mtu Kama Ferooz ile nyimbo yake ya starehe ingewekewa mifumo mizuri yeye angeweza Kula na kunywa Maisha yake yote.

Unakuta mtu alifanya Kazi kubwa Ila Leo hana kitu


Watu wanaonufaika vizuri na Muziki ni hawa wasanii wa sasa.

So muda mwingine hauwezi kuwalaumu Sana wasanii wa zamani kwa wanachokipitia .
 

Achana na huyo ebu muangalie Ferooz the hit maker wa Starehe .

Hawa wote wangekuwa nchi za dunia ya kwanza wangekuwa matajiri wakubwa
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Upo sahihi mkuu lavit..kukosa management NZURII... stress za Muzik hupelekea wasanii wengi watumie vilevi vikali vikali..
 
Achana na huyo ebu muangalie Ferooz the hit maker wa Starehe .

Hawa wote wangekuwa nchi za dunia ya kwanza wangekuwa matajiri wakubwa
Hata daz baba a.k.a daz mwalimu namwonaga tabata ulevi usha mpotezaa Ila alikuaga genius wa mziki..hatari sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…