Mkuu hii timu siielewi kabisa. Lakini toka wamfukuze kocha wao wameshinda mechi mbili mfululizo tena kwa kishindo. Hadi wapinzani wameanza kuwaogopa. Let's wait and see their next coming fixtures.Hii bado ni timu nzuri sijui kwanini kwenye EPL wamekuwa doro kupita kiasi. Hata kama ni chuki dhidi ya kocha lakini si kwa kiasi hiki. Iweje wawe doro kwenye EPL lakini kwenye UEFA wanafanya vizuri kiasi hiki.
Sijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Utakuwa Arsernal au Liverpool tu wewe!Mmh....huku nako hakusomeki.....
Mmhhh[emoji40] [emoji40]kuna ndugu yangu kesha Beth mapema bingwa UEFA ni Leicester nasubiri achukue mpunga mrefu balaa
Ni mnafiki huyo, yaani jamaa anatamani wakutane na Leicester ndo mchumba aliyebakiaGigi Buffon hataki kabisa kusikia habari ya hako ka Leicester City, yeye kwake bora ya Beyern
kweli kabisa wanaweza fanya maajabuLeicester City ndo bingwa wa UEFA msimu huu, kama huamini subiri
Mkuu binadamu ndo walivyo,na ili nilimejirudia kwenye ligi ya EPL kwa Ranieri pamoja na Josee kipindi akiwa Chelsea yaliyoko training ground na resting room ni Mengi mbinu mbovu na wachezaji wakongwe kukuangusha kwa manufaa yao believe me Leicester city ni wazuri sana hata Shakespeare hana mbinu ila ni juhudi tu za wachezajiHii bado ni timu nzuri sijui kwanini kwenye EPL wamekuwa doro kupita kiasi. Hata kama ni chuki dhidi ya kocha lakini si kwa kiasi hiki. Iweje wawe doro kwenye EPL lakini kwenye UEFA wanafanya vizuri kiasi hiki.
Absolutely mkuu passion yao iko juu niliona juzi Mahrez sio yule ya December morali uko juu sana pili defence yao pamoja na goalkeeper wao wako makini sanaKushuka kiwango kwa timu nguli england ndo kumefanya epl isiwe na timu nzuri. Man u, livapul na chelsea ndo timu ambazo zikiwa huko kama zipo vizuri hazirembi. Sasa hawa asernal, man na totenham kazi kukimbila big 4 tu wakienda uefa ni butu kweli hadi aibu. Naamini chelsea angekuwa big 4 musimu uliopita angefika nusu fainali. Na bila kupepesa macho timu inayoweza kutingisha uefa kwa sasa pale epl ni chelsea tu ndio atleast imekamilika. Leceister akipewa timu kama monaco, borusia na juve anaweza kuzitoa afu akatinga nusu final. Mark my words
ujerumani zipo team mbili naKwani ujerumanina Italy zimebaki ngapi?