Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Leicester city 1. 2 west hamLeicester city vs west ham itakuwa droo = point 1
Manchester United vs Leicester city itakuwa droo = point 1
Leicester city vs Swansea city.. the foxes watashinda = point 3
Leicester city vs Everton itakuwa droo = point 1
Chelsea vs Leicester city itakuwa droo = point 1
Hivyo atafikisha point 79 pungufu ya point 2 kutwaa ubingwa
Hapo itabidi amwombee Tottenham hotspurs na arsenal na njaa kwenye izo point 2
Yote kwa yote kila la Kerri the foxes under the boss Claudio ranier
2 kwa 2 f.tLeicester city 1. 2 west ham
Aombe Kesho Tottenham hotspurs asipate ushind
Leicester city 2. 2 west ham
Aombe Kesho Tottenham hotspurs asipate ushind
hata apurs ashinde, angalia table mkuuLeicester city 1. 2 west ham
Aombe Kesho Tottenham hotspurs asipate ushind
Ushindi kama vile unanukia we are so close.....
Bado naiona Spurs katika Ubingwa kutokana na haya.Washabeba ndoo hawa
Bado naiona Spurs katika Ubingwa kutokana na haya.
1. Mechi za Leicester zilizobaki ni ngumu kuliko za Spurs.
2. Man U ili apate ari kubwa ni lazima amfunge Leicester kwakuwa akishinda mechi zake 2 zinazokuja uwezekano wa kuingia top 4 ni mkubwa sana maana macho yake yote yapo kwenye mechi ya Man City na Arsenal yeyote akifungwa hapo anashuka mpaka nafasi ya 5 lakini Man U ashinde mechi zake 2 zinazofuata.
Hongera zake sana Vardy
Record breaker magol 11 ktk mechi 11 mfulizo msimu huu #Vardy