Leicester City, Special Thread

Leicester City, Special Thread

Leicester city vs west ham itakuwa droo = point 1

Manchester United vs Leicester city itakuwa droo = point 1

Leicester city vs Swansea city.. the foxes watashinda = point 3

Leicester city vs Everton itakuwa droo = point 1

Chelsea vs Leicester city itakuwa droo = point 1

Hivyo atafikisha point 79 pungufu ya point 2 kutwaa ubingwa

Hapo itabidi amwombee Tottenham hotspurs na arsenal na njaa kwenye izo point 2

Yote kwa yote kila la Kerri the foxes under the boss Claudio ranier
Leicester city 1. 2 west ham

Aombe Kesho Tottenham hotspurs asipate ushind
 
3 to go Arsenal na Man City washalikosa kombe
03f50bef36d44c031ce16a26f2c04191.jpg
 
Ushindi kama vile unanukia we are so close.....
Washabeba ndoo hawa
Bado naiona Spurs katika Ubingwa kutokana na haya.
1. Mechi za Leicester zilizobaki ni ngumu kuliko za Spurs.
2. Man U ili apate ari kubwa ni lazima amfunge Leicester kwakuwa akishinda mechi zake 2 zinazokuja uwezekano wa kuingia top 4 ni mkubwa sana maana macho yake yote yapo kwenye mechi ya Man City na Arsenal yeyote akifungwa hapo anashuka mpaka nafasi ya 5 lakini Man U ashinde mechi zake 2 zinazofuata.
 
Totenham kufunga Southhampton watapata shida
wanaweza kupata draw
bado kuna Chelsea...

halafu Newcastle chini ya benitez hawataki kushuka

sio vipi watashinda zote hizo
wakitoa draw tu hata moja baasi
Leicester anahitaji kushinda moja tu na draw mbili tu bingwa
 
Sikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
 
Back
Top Bottom