Leicester City, Special Thread

Sasa jamaa wanaitaji kushinda mechi moja Ama wadroo zote mechi zilizobakia.
 
Sikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
Asee, umepitwa na vitu vingi sana, sidhani kama vitakuja kujirudia tena.
 
Hadi sasa naona Leicester City njia ni nyeupe.......
Njia ni nyeupe kabisa, yaani kama wataifunga Manu pale OT jumapili, shughuli imeisha au hata jumatatu usiku Chelsea akimpiga Spurs, leicester ni bingwa!
Watakuwa mabingwa eidha jumapili au jumatatu usiku.
Sioni Spurs wakitoka darajani.
 
Leicester city 4. 0 Swansea city
Points 3
 
Sikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
Your sport girl?.. Km ndivyo inavutia msichana kwenda deep in sports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…