Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
msaliti mkubwa sana na Mbowe amewajua walio wake ndhani amepata funzo kubwa sanaGodbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana.
Kunywa maji ushushe pressure!msaliti mkubwa sana na Mbowe amewajua walio wake ndhani amepata funzo kubwa sana
Wakati mkuu na wala sio watu .msaliti mkubwa sana na Mbowe amewajua walio wake ndhani amepata funzo kubwa sana
Bowe Sasa hivi anapiga bapa huku anafanyiwa massage na mikono 12😊😊Uchaga na kubebana hakupo ss hivi zama zimebadilika, hongera kwake kamanda Lema
Lema ni mtu makini hakuvutwa na ukabila ila ameona mbele zaidi ya ukabila siyo selfish. Kudo to himmsaliti mkubwa sana na Mbowe amewajua walio wake ndhani amepata funzo kubwa sana
Kwenye haki hakuna usaliti. Amekuwa muwazi, amesimamia anachokiamini, ametupa ukabila na ukanda mnaouendekeza.msaliti mkubwa sana na Mbowe amewajua walio wake ndhani amepata funzo kubwa sana
Hongera Godbless Lema.Umetanguliza utaifa kwanza badala ya ukanda na ukabila.Historia itakukumbuka."Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni ndugu yangu kabisa lakini niliamini kwamba Lissu anaweza kuwa kiongozi bora kwa wakati huu..."
"Umekuwa uchaguzi wa kidemokrasia na kila mtu ameona mchakato ambao ulikuwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali niseme tu tumeshinda kwa haki na tunakwenda kuanza kazi mara moja"
Hakuna cha Usalitu kwenye maslai ya nchi. Acha mahaba yaliyopitiliza ya kupenda kula ndizi tamu.msaliti mkubwa sana na Mbowe amewajua walio wake ndhani amepata funzo kubwa sana
Hata mimi sikuamini. Nilidhani ni strategy ya Mbowe kumfanya adui wa mchongo ili amsaidie kwenye kuhesabu kura. Hongera yake.Hongera Godbless Lema.Umetanguliza utaifa kwanza badala ya ukanda na ukabila.Historia itakukumbuka.