hivi ule uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema wa kutoa maoni siku izi imekua ni anasa au nongwa sio gentleman?Kila binadamu anaweza kuwa na upuuzi wake mwingi kichwani. Unaweza kuwa na upuuzi wa kiwango cha juu umeubeba kichwani ila kwa kuwa haujulikani kwa watu basi unaendelea kuheshimika. Siku ukiamua kuubwaga upuuzi uliobeba kisha watu wakausikia hapo ndipo dharau zitaanza. Hata wewe hutaamini kwamba ulikiwa umebeba upuuzi wa kiwango kile kichwani.
Kosa la Lema ni moja tu, kuubwaga upuuzi aliokuwa amebeba kichwani ukajulikana hadharani. Lema ameondoa thamani yake yote aliyokuwa ameibeba kwa kujitakia yeye mwenyewe.
Mimi naamini hata Lema mwenyewe kwa sasa ndipo anaamini kuwa kweli alikuwa amebeba mambo ya kipuuzi kichwani ila kabla hajayabwaga hadharani alijiona yupo sawa kabisa kiakili.
Lema kila leo tunamwambia aache kujimaliza kwa kubabaikia upande. Leo huku kesho kule. Lema alitakiwa kusimamia upande ule ule alioanza nao wakati wa uchaguzi mkuu ndani ya chama cha Chadema. Kuja kupiga u turn ghafla kumeondoa thamani yake yote. Lema leo anaonekana mjinga kuliko hata Kina Yericko. Kina Yericko wao ujinga wao ni wa upande mmoja na hawakuwahi kubadilika. Sasa leo Lema amejikuta kuonekana wa hovyo na asiye na mipango wala usimamizi binafsi.
Kosa alilofanya Lema limemgharimu kosiasa na kiimani. Anachotakiwa kufanya sasa ni kukaa mbali na siasa na kujikita kwenye mambo yake binafsi. Akae mbali kabisa na mambo ya vyombo vya habari.
Lema juzi aliongea upuuzi mkubwa sana ambao leo wengi wetu tunajiuliza akili yake aliipeleka wapi? Kajiletea damage kubwa kijamii kwa kushindwa tu kukaa na upuuzi wake kichwani.
Lema na hata yule jamaa Madenge wa twitter ambaye naye kwa mihemko ya kilevi alitwiti upuuzi tu (Kosa kubwa kutumia platform iliyokujenga kuweka upuuzi) mpaka kesho hawatokuwa tena na maana kwa jamii ile iliyowajenga. It's over! Na mbaya zaidi unapoteza hata watu wa maana waliokuwa wanakuamini na kukupa za ndani na kukusikiliza pia. Leo wote wanakuona bwege kwa kutaka hata na wao kuwatia matatizoni kwa upuuzi wako na kujifanya kujua kulipuka.
Elimu haina mbadala... If you think education is expensive, try ignoranceLema tulikuwa tunam-overrate tu. Jamaa ni mweupe sana. Anajisifia mambo ya kishamba sana. Chadema ndio ilikuwa inambeba na inaficha ujinga wake. Mtu anajisifia familia kuwa raia wa Canada, how stupid is this? Kwa hiyo raia wasiokuwa na uwezo wa kupeleka wake na watoto zao Canada ni wajinga? Anajisifia hawezi kusomesha wanae shule za kata kwa hiyo jamii ya watanganyika wasiokuwa na uwezo wa kusomesha watoto private school wajisikiaje? Of course elimu mbovu kwa shule za serikali ni tatizo la ccm ila kuanza kujisifia kwa hilo ni dharau kwa watanganyika
Kwenye kitabu kimoja 46 rules of poeerHapana alikua sahihi kabisa kusema
Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga
Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake hadharani ilia watu wamjue vizuri
Niliwahi kusema pia kipindi mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani
Watu wali m attack ila mie niliona ni sasa watu fake wa kazi gani kuwafuga?
Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita maelezo
Moyo wa mtu kichaka
bro umegonga mulemule.Lema tulikuwa tunam-overrate tu. Jamaa ni mweupe sana. Anajisifia mambo ya kishamba sana. Chadema ndio ilikuwa inambeba na inaficha ujinga wake. Mtu anajisifia familia kuwa raia wa Canada, how stupid is this? Kwa hiyo raia wasiokuwa na uwezo wa kupeleka wake na watoto zao Canada ni wajinga? Anajisifia hawezi kusomesha wanae shule za kata kwa hiyo jamii ya watanganyika wasiokuwa na uwezo wa kusomesha watoto private school wajisikiaje? Of course elimu mbovu kwa shule za serikali ni tatizo la ccm ila kuanza kujisifia kwa hilo ni dharau kwa watanganyika
Anamshambulia Mange kwa hoja nyepesi sana, eti haji kuzika waliouawa! How stupid is this narrative? Kwa hiyo kudai haki lini imekuwa kosa hadi watu wauawe! Kwa hiyo Mange kuja kuzika waliouawa ndio itahalalisha yeye kuhamasisha maandamano? Yaani jamaa ni mtupu hatari. Kwa hiyo watu kuuawa na kutekwa ni kosa la Mange na sio kosa la wauaji ambao hawaheshimu haki za bibadamu na katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kuandamana? Huyu jamaa ni zero brain
Alichofanya Lemma ni sawa na alichofanya Chacha wa CCM kwa kusema kuwa majeshi na vyombo vyote vya dola ni mali.ya CCM, ni ukweli ambao ulikuwa unafahamika kwa wote ila yeye ameamua kuutangaza hadharani.Hapana alikua sahihi kabisa kusema
Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga
Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake anouona yeye kua ni hoja na kuumwaga hadharani ili watu wamjue vizuri
Niliwahi kusema pia kipindi Mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani
Watu wali m attack ila mie niliona ni sawa watu fake wa kazi gani kuwafuga?
Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita kiasi
Moyo wa mtu kichaka
Upo sahihi mkuuAlichofanya Lemma ni sawa na alichofanya Chacha wa CCM kwa kusema kuwa majeshi na vyombo vyote vya dola ni mali.ya CCM, ni ukweli ambao ulikuwa unafahamika kwa wote ila yeye ameamua kuutangaza hadharani.
Mkuu, unadhani Lema ana sababu ya kujisafisha ili aweze kuaminika tena kwa wapenda haki na wanachama wa CHADEMA?Kwenye kitabu kimoja 46 rules of poeer
Law 4: Always Say Less Than Necessary (Pages 31–36)
Rule ina state "When you are trying to impress people with words, the more you say, the more common you appear, and the less in control. Powerful people impress and intimidate by saying less. The more you say, the more likely you are to say something foolish."
Lema ame make error kwenye stategy zake, he needs a plan to redeem himself or this is the beginning of end of his political career
Huwa anawashambulia sana bodaboda na kusema kazi yao ni kazi ya laana, atuambia kila siku mtoto wake hawezi kuwa bodaboda. Sijui kama hatambui ajira ni shida.Hapana alikua sahihi kabisa kusema
Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga
Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake anouona yeye kua ni hoja na kuumwaga hadharani ili watu wamjue vizuri
Niliwahi kusema pia kipindi Mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani
Watu wali m attack ila mie niliona ni sawa watu fake wa kazi gani kuwafuga?
Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita kiasi
Moyo wa mtu kichaka
Umemaliza kila kitu.Lema tulikuwa tunam-overrate tu. Jamaa ni mweupe sana.
Hiyo lugha unayotaka atumie sio viwango vyake hiyo anayotumia sasa ndio uhalisia wakeHuwa anawashambulia sana bodaboda na kusema kazi yao ni kazi ya laana, atuambia kila siku mtoto wake hawezi kuwa bodaboda. Sijui kama hatambui ajira ni shida.
Mara nyingi huwa anatukana sana Watanzania kwamba ni wajinga, waoga wametekwa na Simba na Yanga na sio kuwapigania watu kama yeye waliojitolea maisha yao.
Hata kama ni kweli kuna lugha ya kutumia kuwaelimisha wananchi.