Lema alikosea kuweka upuuzi wake hadharani. Angebaki nao tu kichwani mwake asingejibomoa vile

Wachaga ndivyo walivyo

..huwezi kulaumu jamii nzima kwa mapungufu ya mtu mmoja.

..kama Lema amekosea mlaumu yeye sio jamii nzima.

..lakini pia nikukumbushe wako Wachaga ambao wametoa mchango mzuri kwa nchi yetu mfano Edwin Mtei, Muhidin Kimario, Prof.Geofrey Mmari, Prof.Esther Mwaikambo, Jaji Robert Kisanga,...

..pia wapo Watanganyika toka kila jamii hapa nchini ambao wamefanya mambo mazuri ya kupigiwa mfano.

..Tuache kauli za KIBAGUZI.
 
Kuitisha press na kuaminiwa ni vitu viwili tofauti. Ukishavunja trust ya watu ku restore is no joke

Qestion hapa alijiandaa na outcome after press ?
 
Kuitisha press na kuaminiwa ni vitu viwili tofauti. Ukishavunja trust ya watu ku restore is no joke

Qestion hapa alijiandaa na outcome after press ?
Ngoja tuone
What's the way forward Mkuu
 
Kuitisha press na kuaminiwa ni vitu viwili tofauti. Ukishavunja trust ya watu ku restore is no joke

Qestion hapa alijiandaa na outcome after press ?
Kuna aina mbili A press.
Aina ya kwanza unaitishiwa press huku umeelekezewa mtutu kichwani nyuma ya pazia

Aina ya pili unaitishiwa press huku umewekewa gunia la hela nyuma ya pazia.

Hizo press zote mbili lazima upandanishe maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…