Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli akatokea Lema ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole.
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri Polepole?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole (aka yoga wa jf) go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia ushauri wa nini?
Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Lema kinachomtesa ni Alishang'atwa na nyoka wengi kwa kuwaamini watu kama Polepole na wengine ni zaidi ya Polepole..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.
..Polepole labda amemuasi Mama Samia, lakini hajaasi unyama na dhuluma za kipindi cha Magufuli.
..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.
..Polepole labda amemuasi Mama Samia, lakini hajaasi unyama na dhuluma za kipindi cha Magufuli.
Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Lema kinachomtesa ni Alishang'atwa na nyoka wengi kwa kuwaamini watu kama Polepole na wengine ni zaidi ya Polepole
Mtu anayetaka kumpumzisha binti kiziwi anawezaje kuwa adui yako kama wewe si Lukasi au nduguye?
Sasa ndugu Pongoro nawe siuzibe tuu masikio?Polepole anatuumiza sana vichwa. Mimi na mama Abdul hatuna raha kabisa.
Lema alinishangaza,
Iweje mtu aliyewahi kuwa Mbunge asijue kuuliza swali,
Badala ya swali, anatoa maelezo mareefu kwa issue isiyo na Msingi,
Yaani ulazimishe Lissu atajwe ndio aone ni uzalendo,
Lema Tulia, acha kelele.
Tunahitajika kuungana pamoja kupambana na adui yetu mmoja
Lema akiwa Arusha mkutano wa hadhara, alitwambia Kabla ya kurudi toka Canada, alimpigia Mzee wa msoga kumuuliza arudi ama la,Wa aina hii hawajui walikuwapo kina mwamba. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko mtu.
Nani asiyeelewa wahuni wametuchelewesha mno?
Lema akiwa Arusha mkutano wa hadhara, alitwambia Kabla ya kurudi toka Canada, alimpigia Mzee wa msoga kumuuliza arudi ama la,
Alipoambiwa njoo ndio akaja.
Wanammtandao wana network ndefu mno.
Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Bwege tu linalojifurahishaHumphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!