City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Muda ulikua ushaisha ndio maana jukwaa moja alisema washamaliza. Hakukua tena na hajaKwani uliambiwa maswali yalikuwa yamekwisha?
Unajua baada ya Dak 50+ za mawaidha fyongo ya Lema kulipotea connectivity? Kulikuwa hata na kuagana na moderators? Maswali tuliuokuwa nayo wadau unadhani hatujui tulipokwa muda?
Kwamba wewe hukuwa na swali kulikoni kutuongelea wengine?
Pili ushauri wa lema haukua vile unataka uaminishe watu, alijikita zaidi kushauri mbinu za kuendeleza mapamamba anayofanya