Badala ya kusema "sisi ungejikita kwenye Mimi" yaani wewe.
Mandela aliwasamehe makaburu akafanya kazi na kina Buthelezi.
Anasema Heche anamwunga mkono Polepole sembuse wewe ndugu?
Hata Gwajima ni mwenzetu na wengi wengine hata wasiokuwamo nasi chamani.
Mwenye mawazo kama yetu leo ni mwenzetu, si wa jana wala juzi.
Kigaila, Mwalimu, na wenzao leo si wenzetu, hao tuliokuwa nao juzi si leo.
Tafadhali usituzungumzie na sisi wengine kwenye bag lako la wabinafsi katika agenda ya ukombozi isiyokuwa na star wala mwenyewe katika jumuiya ya waungwana.