Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Eti shemeji binti kiziwi wewe ndio chura kiziwi?, kama ndio sioi kwenu🦅
Wewe ni ponjoro wa wapi???Polepole anatuumiza sana vichwa. Mimi na mama Abdul hatuna raha kabisa.
Mimi ni Ponjoro wa KinondoniWewe ni ponjoro wa wapi???
Tatizo litakuwa elimu na husuda kuwa Polepole anaweza kukubalika. Yale yale ya mwamba.. !
Lema kuna sehemu anapotoka. Anataka kujiona yy siku zote ndio mwenye hakiLema alinishangaza,
Iweje mtu aliyewahi kuwa Mbunge asijue kuuliza swali,
Badala ya swali, anatoa maelezo mareefu kwa issue isiyo na Msingi,
Yaani ulazimishe Lissu atajwe ndio aone ni uzalendo,
Lema Tulia, acha kelele.
Tunahitajika kuungana pamoja kupambana na adui yetu mmoja
Ww jau sana kwa hiyo Polepole asiongelee maswala ya haki?? Kisa aliwahi kukanyaga haki akili za kipumbavu hizoNisahihi Lema kutoa maoni. Huyo mpolipoli alishiriki kuikataa katiba aliyoipambania awali, alitetea chaguzi ovu,hakubali kuteswa kufungwa na kuuwawa kwa watu. Actually mikono yenye damu iliyokauka ndiyo iliyochochea mikono ya damu mbichi kuendelea kumwaga damu za watu.
Muovu ni muovu tuu na haijawahi kutubu Kwa uovu wake bali hujitetea kipumbavu huku akitumia neno la Mungu kwa Hila.
Lema ni kiazi mbatataHumphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole hahitaji ushauri wa watu wa aina yake!
Kiazi kama kiazi kwenye moja na mbili.Nisahihi Lema kutoa maoni. Huyo mpolipoli alishiriki kuikataa katiba aliyoipambania awali, alitetea chaguzi ovu,hakubali kuteswa kufungwa na kuuwawa kwa watu. Actually mikono yenye damu iliyokauka ndiyo iliyochochea mikono ya damu mbichi kuendelea kumwaga damu za watu.
Muovu ni muovu tuu na haijawahi kutubu Kwa uovu wake bali hujitetea kipumbavu huku akitumia neno la Mungu kwa Hila.
lema asitutishe tumewaona kina malemaLemma ni mzee wa kupenda attention akiona mtu yoyote anafanya kitu chenye kinaungwa mkono na watu wengi utamuona anajitokeza na kumponda huyo mtu anataka aonekane yeye ndo anauchungu kuliko yoyote wakati kajificha Canada
It doesn’t matter. Hupigani vita vilivyopita bali unapigana vita vilivyopo. Haikugharimu kitu kumuacha aliyekuwa mpiganaji wa adui yako amshambulie adui yako!..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.
..Polepole labda amemuasi Mama Samia, lakini hajaasi unyama na dhuluma za kipindi cha Magufuli.
Adui wa adui yako hapaswi kuwa adui yako! Tumia akili kuunganisha naye nguvu!Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Imani haiondoi mashaka!Una muamini polepole?
Adui wa adui yako hapaswi kuwa adui yako! Tumia akili kuunganisha naye nguvu!
Godbless Lema ni akili ndogo asiyejitambua ambaye ni sawa tu mcheza mpira asiye jua goli lao yeye hufunga goli lolote apatapo mpira!Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole hahitaji ushauri wa watu wa aina yake!
..Polepole yuko baridi kuhusu NRNE.
..Polepole hataki kumsaidia Gwajima.
..hizo ndio sababu wanaharakati wanapata ugumu kumuunga mkono.
..umesikia majibu ya Polepole kuhusu kadhia aliyopelekewa Askofu Gwajima?
Kwani chadema ilithubutu kumwunga mkono Gwajima waziwazi?
Waliopaswa kumwunga mkono Gwajima waziwazi na mapema kabisa walikuwa chadema kama taasisi.
Tofautisha mtu kuungwa mkono na chadema na mtu kuungwa mkono na Polepole. Vita ni strategy.
Polepole anapita njia nyembamba. Yaweza kuwa yupo nje na Gwajima na wengine anaothubutu kuwataja wapi nchini.
Bila kusahau hatua yoyote ya Polepole kujinasibu na yeyote aliyeko ndani ya nchi ni kumtakia mtajwa hatarini.
Kwanini ungependa Gwajima kuwekwa hatarini wakati CHADEMA ingeweza kumtaja padipo na kumuweka hatarini?
Wapi Polepole Yuko baridi na NRNE? Hujamsikia lazima oil imwagwe na tuongee mustakabala wa taifa kabla ya uchaguzi?
Hebu yaseme hayo Kwa kiingereza!
Unataka tuongelee events na siyo issues mezani?..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.