Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

..hukuwaona viongozi wa Chadema wamekwenda kusali na waumini wa Gwajima wakati yeye mwenyewe kaingia mitini?

Angalia comment hii ilikuwa ya lini.

Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Jiridhishe pia:

Liko wapi tamko la chama kumwunga mkono Gwajima? Pia tofautisha kwenda kusali na kutamka kumwunga mkono Gwajima. Tena kwenye sekeseke la Mdude kupotea!

Siasa za machale machale kama za mwamba hazilipi!

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Vita kupiganiq haki havipiganwi gizani!
 
Angalia comment hii ilikuwa ya lini.

Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Jiridhishe pia:

Liko wapi tamko la chama kumwunga mkono Gwajima?

Siasa za machale machale kama za mwamba hazilipi!

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Haki haipiganiwi gizani!

..mbona Makamu Mwenyekiti Heche ametoa kauli kumtetea Gwajima? Wakati huohuo Gwajima mwenyewe amejificha.

..yule Mchungaji anayehangaika na waumini wa Gwajima ni kiongozi wa Chadema.

..Nadhani hakuna chama cha siasa kimesimama na Gwajima kuzidi Chadema.
 
Tunalo tamko lolote la kumwunga mkono Gwajima kama mpigania haki mwenzetu?
 
..Chadema sasa hivi iko chini ya Makamu Mwenyekiti kwasababu Mwenyekiti yuko magereza.

..Kwa msingi huo kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema kuhusu suala lolote lile ndio msimamo wa chama.

..John Heche ametoa kauli zaidi ya mara moja kumuunga mkono Gwajima.

..Viongozi wa Chadema wamekwenda kusali na waumini wa Gwajima, wakati yeye mwenyewe amejificha.

..Kwa maoni yangu hakuna chama cha siasa kilichomuunga mkono Gwajima kuzidi Chadema.
 
Comment hii ni ya Juni:

Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Haikujibiwa popote.

Hudhani ulichoandika leo hapa ni yale ya kupigania haki gizani?

Kwamba wangapi hatujui msimamo wa chama kuhusu Gwajima au wapigania haki wengine waliona kina afya hilo?

Haudhani makosa yetu ni mwendelezo huu:

Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini

Uzi huo angalia ulikuwa wa lini kutambua yale ya shuka na siasa za mwamba!
 
Lissu ana kazi sana kazungukwa na wasioweza kuelewa. Kuwaelewesha ni shughuli pevu.
Ila Mimi huwa nashangaa sana.
Chadema wakiongea ukweli ni sawa
Ila akijitokeza CCM kuongea ukweli huohuo badala wote waungane kuongea ukweli maana wote tunawahutaji katika mabadiliko.
.chadema waanza kujikota kuwakosoa vikali hawa watu wa CCM waliijitoa kuongea ukweli
Ina maana chadema wao pekeyao ndio wanayo hiyo haki ya kuuongea ukweli?
Wengine hawaruhusiwi?

Safari yao itakuwa ngumu sana maana kidole kimoja hakivunji chawa.
 
Huyu Tindo hataki kabisa hizi stori za CCM kuongea ukweli😂

Ubinafsi na kimuhemuhe cha kupokwa umaarufu. Hata shetani hufika wakati akasema ukweli.

Ilisemwa yaliyopita si ndwele ...
 
Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.
Kwahiyo kama ni mshenzi, aendelee na ushenzi asiongee ukweli?
Chadema tu ndio wanayo haki ya kuongea ukweli?

Hawahawa akina Lema na Lissu , chini ya Mwenyekiti Mhe Mbowe ndio waliompitisha Lowasa kugombea Urais,wakaanza kumsafisha.
Mbona wao wanaendelea kuongea ukweli na wala watuwakumbushi.
 
Joka Mkuu tutaielewa sanaa ya vita tukiwa tumechelewa mno!
 
Back
Top Bottom