Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Conclusively, Magu aliuwawa na wana Mtandao...,., ndio akina nani hao wana mtandao???Mwamba anasomeka na hata GENTAMYCINE na wale wahuni wenyewe walikuwapo.
Conclusively, Magu aliuwawa na wana Mtandao...,., ndio akina nani hao wana mtandao???Mwamba anasomeka na hata GENTAMYCINE na wale wahuni wenyewe walikuwapo.
Conclusively, Magu aliuwawa na wana Mtandao...,., ndio akina nani hao wana mtandao???
Hawezi kujibu kila kitu vile wewe utaridhika! Wewe unataka POLEPOLE afanyaje sasa? Asiongee?..alipoulizwa na Jenerali Ulimwengu kuhusu NRNE Polepole alijibu kuwa Chadema wamfuate chamber.
..Club House walipomuuliza kama anaunga mkono NRNE Polepole akajibu anataka " transformation. "
..alipoulizwa kuhusu Gwajima akapiga chenga ati suala liko mahakamani.
..akiulizwa kuhusu mauaji wakati wa awamu ya 5 Polepole anakimbilia kujibu kuhusu mauaji ya Polisi, huku akikwepa kuzungumzia mauaji dhidi ya wapinzani.
Haki haipiganiwi gizani:
Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
Tukiwalilia Hali wanaoweza kuwa washirika tokea enzi na enzi huko.
Taabu sasa shingo kushupazwa.
Wakuelewe wapi wale wanachama uchwara?
Tinde, JokaMKuu au nasema uongo?
..anaitwa TINDO sio Tinde!
Hawezi kujibu kila kitu vile wewe utaridhika! Wewe unataka POLEPOLE afanyaje sasa? Asiongee?
Aseme no reform no election?
Aombe msamaha kwa kuwa kwake kimya kipindi cha jpm?
Yana changia nini kwenye hoja zake za sasa?
Polepole anatuumiza sana vichwa. Mimi na mama Abdul hatuna raha kabisa.
Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.
Tumejaribu kumpa asali anamwaga.Anavuta kasi amwage ugali na mboga 😂😂😂😂
Mavi kama mavi kwenye choo cha shimoKiazi kama kiazi kwenye moja na mbili.
..alipoulizwa na Jenerali Ulimwengu kuhusu NRNE Polepole alijibu kuwa Chadema wamfuate chamber.
..Club House walipomuuliza kama anaunga mkono NRNE Polepole akajibu anataka " transformation. "
..alipoulizwa kuhusu Gwajima akapiga chenga ati suala liko mahakamani.
..akiulizwa kuhusu mauaji wakati wa awamu ya 5 Polepole anakimbilia kujibu kuhusu mauaji ya Polisi, huku akikwepa kuzungumzia mauaji dhidi ya wapinzani.
Hadi sasa mngali na cha kumshauri Polepole Ili afanye vyema zaidi?
Polepole na TAL ni mpango was Mungu!
..jana nimemsikia Polepole anasema uchaguzi wa mwaka huu ni ulaghai.
..ushauri wangu ni ajisafishe kwa kukiri hata chaguzi zilizopita zilikuwa za DHULUMA.
..Nadhani akiulaani na unyama aliofanya Magufuli dhidi ya wapinzani ataaminika na kukubalika zaidi.
Hatumwamini, tunaamini maneno yake🤣🤣🤣Una muamini polepole?
Wanamtandao wamewahi kusimika mgombea kwetu bila sote kujua.
Na bado hata leo wana watu wao lukuki na watakuwapo mahakamani ndani ya shuka!
View attachment 3458697
Tungeyajulia wapi haya. Ondoeni ujuaji wenu. Mlituchelewesha tafadhali msiendelee kutuchelewesha.
Wa kuomba radhi alikuwa yeye au ninyi?
Mko uchi chutameni!
Hatumwamini, tunaamini maneno yake🤣🤣🤣
..Polepole anapaswa kuomba radhi kwa kuwa sehemu ya unyama na ukatili wa serikali ya awamu ya 5.
..mimi nadhani atafika huko, kwasababu mwanzoni hakuwahi kusema uchaguzi ni ulaghai.
..Mazungumzo ya kitaifa anayopendekeza Polepole, kama tunataka kuwa wakweli, ni lazima yahusishe matatizo ya awamu zote, tangu tuingie katika mfumo wa vyama vingi.