Bado hatujasahau madhila Polepole aliyoleta chini ya Magufuli. Hii kufumbia macho washenzi kisa hawaelewani na utawala wa sasa ni wendawazimu. Ni kweli Polepole anaongea ukweli, lakini hata wakati wa tume ya Warioba aliongea ukweli, ila alipoingia dhalimu magu akageuka kuwa mshenzi. Iweje aaminike sasa?Wa aina hii hawajui walikuwapo kina mwamba. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko mtu.
Nani asiyeelewa wahuni wametuchelewesha mno?
Hatumuamini, ila anaongea ukweli, usijisahaulishe. Tunajua ni mshenzi fulani kwa kushiriki udhalimu wakati wa Magufuli, lakini anaongea ukweli.Una muamini polepole?
Lema anazingua sana kavu tu.
Lema kavu sana inawezekana anatumika pia..Wa namna ya Lema kutowatolea uvivu asubuhi haisaidii.
Bado hatujasahau madhila Polepole aliyoleta chini ya Magufuli. Hii kufumbia macho washenzi kisa hawaelewani na utawala wa sasa ni wendawazimu. Ni kweli Polepole anaongea ukweli, lakini hata wakati wa tume ya Warioba aliongea ukweli, ila alipoingia dhalimu magu akageuka kuwa mshenzi. Iweje aaminike sasa?
Lema kavu sana inawezekana anatumika pia..
Bwege tu linalojifurahisha
Anaongea ukweli Kwa maslahi ya nani?Hatumuamini, ila anaongea ukweli, usijisahaulishe. Tunajua ni mshenzi fulani kwa kushiriki udhalimu wakati wa Magufuli, lakini anaongea ukweli.
Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.
Mimi jana ndio nimegundua kuwa polepole ni akili kubwa sana...hakuna wa kushindana kwenye siasa.
Katikati ya Polepole wa bunge la katiba na Polepole wa awamu ya 6 alikumbwa na nini?
Nisahihi Lema kutoa maoni. Huyo mpolipoli alishiriki kuikataa katiba aliyoipambania awali, alitetea chaguzi ovu,hakubali kuteswa kufungwa na kuuwawa kwa watu. Actually mikono yenye damu iliyokauka ndiyo iliyochochea mikono ya damu mbichi kuendelea kumwaga damu za watu.
Muovu ni muovu tuu na haijawahi kutubu Kwa uovu wake bali hujitetea kipumbavu huku akitumia neno la Mungu kwa Hila.
Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Yeye naye ni mhuni na anapambana na wahuni wenzie.Wapi Polepole alipoikataa katiba ya Warioba?
Lema apange kutoa ushauri wake kwenye jukwaa lake aone hata kama wewe utakuwapo kumsikiliza.
Shaurini watu kwenda shule wanatukata stimu sana kwenye kutafuta mabadiliko ya kweli ya nchi hii.
Kumbagaza Polepole ni kujipanga na wahuni na binti kiziwi kwa kujua au kutokujua au umbumbumbu!
Umesema uongo, lema alikija kuchangia mwishoni kabisa. Yalishapita masaa mataty, alishaongea aliyotaka, watu wengi walishauliza maswali. Hivyo lema hakuharibu chochote, pia ushauri aliotoa lema hauhusiani kabisa na ulichoandika.