Lema ana lolote la kuwaambia wana Arusha kwa kipindi cha miaka yake 10 Arusha?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.

Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
 
Analo la kuwaambia wana Arusha, kama alilonalo Ndugai la kuwaambia wana Kongwa.Kongwa nasikia ina vitu tangible kuliko Arusha.
 
Kwa hiyo barabara za Arusha wakati wa FELIX MREMA zilikuwa bora kuliko sasa? Hivi wewe unatoka Kongwa au Mtera? PU....VU.
Kuna kumbukumbu yoyote inayoonesha lema akiongelea barabara za Arusha Bungeni??
 
Hili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.

Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
Majibu ya swali lako utajibiwa tar 29 Oct, saa tatu asubuhi. Kuwa mpole
 
Hili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.

Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
Pole mama na ile ajali ya kuanguka jukwaani kama kifusi cha moram nyekundu,fanya mazoezi upunguze unene mtu chai unakula vitumbua 10
 
Hili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.

Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
Lema ndio mwisho wake arudi akauze mbege moshi
 
Back
Top Bottom