Lema ana lolote la kuwaambia wana Arusha kwa kipindi cha miaka yake 10 Arusha?

Lema akagombee kwao moshi wanaarusha tunahitaji mtu kama gambo
Bado tutamkuta shiverz anajiuza,kweli mrisho hali yake tete anashiriki mpka kuchoma maiti pale esso kwa mabaniani
IMG_20200920_084943.jpeg
 
Gambo hakutegemea kukutana na hiyo hali, ni kama amesusiwa na CCM wenzake kwasababu ya tuhuma za rushwa kwenye kampeni za ndani ya chama, sasa kajikuta kwenye hali ngumu hata yeye mwenyewe haamini tena kama ataweza kushinda Arusha Mjini.
 
Wana CCM wa ARUSHA MJINI hawako tayari kuenenda kinyume na Mh Rais Magufuli,hutekeleza jinsi Mh Rais asemavyo.Rais anamjuwa Gambo vizuri saana ndiyo maana akafanya vile alivyofanya...kumtumbua na akatoa maneno makali,unadhani kwa mwenye akili za kawaida ie kujua kusoma na kuandika tu,atakwenda kinyume na Mh Rais kwa kumpigia kura Gambo....?na ni vipi kwa wenye akili za ziada waliounga mkono juhudi na wakaeunguliwa halafu Gambo akashinda,unadhani wao na watu wao watampigia kura Gambo..??
 
Kinana sio mwanaCCM mwenzake?
 
Mchakato ndani ya CCM ulishapita nyie pambaneni na hali yenu
 
Hili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.

Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
Treni
 
Wanalikimbia Hilo swali Kila Kona,yupo na Halima mdee pia.
Wamezidiwa kete hata na SUGU NA MSIGWA,walijua kula na vipofu wakawang'ang'ania serkali mpaka wakafanikisha kiasi chake.

Mwenzao MNYIKA alistukia Hilo akaacha kugombea,sa hivi Ana bwisa tu fedha za ruzuku kupitia ukatibu mkuu uchwara wa CDM.

LEMA
HALIMA MDEE jibuni swali msikimbie
 
Mkuu
Niko Hapa Morogoro Mji Kasoro Bahari, Manispaa Ambayo Punde Itatangazwa Jiji
Jana Tarehe 19.09.2020 Mgombea Ubunge Aliyepita Bila Kupigwa, Baadaye Tume Ya Uchaguzi Ikarudisha Haki Ili Apambane Na Minja Haki Bin Haki

Alichokifanya Abood Jana Kimedhihirisha Hana Uwezo Wa Kupambana Na Wanasiasa Wengine
Ametoa Bus Zake Kila Kona Kubeba Watu Kuwapeleka Mjini Anafanyia Mkutano

Nikauliza Walioko Hapa Wakasema Huyu Abood Miaka Tele Yupo Morogoro Huko Bungeni Hasemi Matatizo Ya Jimbo Ila Anapumzika Tu

Baadhi Wanasema Tunakwenda Kwenye Mikutano Ya Upinzani Kusikiliza Sera Na Ahadi Pia Wananchi Wanajulishwa Wasiyoyajua. Wanasema Hatupelekwi Ila Tunakwenda Wenyewe.
 
Weka picha tuone
 
Labda swali zuri ni CCM imefanya nini miaka 59 baada ya uhuru?
Inabidi ujue limit za mbunge ni zipi, mbunge hawezi fanya chochote kama serikali juu haijapitisha, watanzania wengi vilaza wanahisi wakimchagua mbunge basi shida zao zimeisha. Sio US hii kila state inajiamulia mambo.
 
Wananchi wanyonge wajiandae na mateso makubwa ambayo hawajawahi pata toka tupate uhuru.
 
Back
Top Bottom