tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Lema ndio mwisho wake arudi akauze mbege moshi
Jobu ndugaiMbunge wa Kongwa nikumbushe lile jina lake .
Mbege atauza gambo akirudi ilala,mana mzaramo ataishia kupata kura za mkewe ccm arusha hawana mda nae
Bado tutamkuta shiverz anajiuza,kweli mrisho hali yake tete anashiriki mpka kuchoma maiti pale esso kwa mabanianiLema akagombee kwao moshi wanaarusha tunahitaji mtu kama gambo
2010 akapita kwa jina lako?Shwain nyinyi!Mwaka 2015 alipita kwa jina la EL
Kinana sio mwanaCCM mwenzake?Gambo hakutegemea kukutana na hiyo hali, ni kama amesusiwa na CCM wenzake kwasababu ya tuhuma za rushwa kwenye kampeni za ndani ya chama, sasa kajikuta kwenye hali ngumu hata yeye mwenyewe haamini tena kama ataweza kushinda Arusha Mjini.
Mchakato ndani ya CCM ulishapita nyie pambaneni na hali yenuWana CCM wa ARUSHA MJINI hawako tayari kuenenda kinyume na Mh Rais Magufuli,hutekeleza jinsi Mh Rais asemavyo.Rais anamjuwa Gambo vizuri saana ndiyo maana akafanya vile alivyofanya...kumtumbua na akatoa maneno makali,unadhani kwa mwenye akili za kawaida ie kujua kusoma na kuandika tu,atakwenda kinyume na Mh Rais kwa kumpigia kura Gambo....?na ni vipi kwa wenye akili za ziada waliounga mkono juhudi na wakaeunguliwa halafu Gambo akashinda,unadhani wao na watu wao watampigia kura Gambo..??
Yupo karibu na watu wa hali zoteBado tutamkuta shiverz anajiuza,kweli mrisho hali yake tete anashiriki mpka kuchoma maiti pale esso kwa mabanianiView attachment 1574963
TreniHili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.
Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
Kuna kumbukumbu yoyote inayoonesha lema akiongelea barabara za Arusha Bungeni??
Wanalikimbia Hilo swali Kila Kona,yupo na Halima mdee pia.Hili ni swali analokutana nalo Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini ndugu Lema na ameshindwa kulijibu.
Yaani hana any tangible issue ya kuelezea ameifanyia nini Arusha? Hii inapelekea ugumu wa kushawishi wana Arusha kuwa atafanya nini?
Weka picha tuoneMkuu
Niko Hapa Morogoro Mji Kasoro Bahari, Manispaa Ambayo Punde Itatangazwa Jiji
Jana Tarehe 19.09.2020 Mgombea Ubunge Aliyepita Bila Kupigwa, Baadaye Tume Ya Uchaguzi Ikarudisha Haki Ili Apambane Na Minja Haki Bin Haki
Alichokifanya Abood Jana Kimedhihirisha Hana Uwezo Wa Kupambana Na Wanasiasa Wengine
Ametoa Bus Zake Kila Kona Kubeba Watu Kuwapeleka Mjini Anafanyia Mkutano
Nikauliza Walioko Hapa Wakasema Huyu Abood Miaka Tele Yupo Morogoro Huko Bungeni Hasemi Matatizo Ya Jimbo Ila Anapumzika Tu
Baadhi Wanasema Tunakwenda Kwenye Mikutano Ya Upinzani Kusikiliza Sera Na Ahadi Pia Wananchi Wanajulishwa Wasiyoyajua. Wanasema Hatupelekwi Ila Tunakwenda Wenyewe.
Wananchi wanyonge wajiandae na mateso makubwa ambayo hawajawahi pata toka tupate uhuru.Labda swali zuri ni CCM imefanya nini miaka 59 baada ya uhuru?
Inabidi ujue limit za mbunge ni zipi, mbunge hawezi fanya chochote kama serikali juu haijapitisha, watanzania wengi vilaza wanahisi wakimchagua mbunge basi shida zao zimeisha. Sio US hii kila state inajiamulia mambo.