- Thread starter
- #21
MboweNa bahati mbaya baadhi ya mapandikizi ni watu ambao wanachama na wapenzi wa hivi vyama vya upinzani wamewaamini kwa muda mrefu, lakini nyuma ya pazia Watu hao ni hatari sana.....
MboweNa bahati mbaya baadhi ya mapandikizi ni watu ambao wanachama na wapenzi wa hivi vyama vya upinzani wamewaamini kwa muda mrefu, lakini nyuma ya pazia Watu hao ni hatari sana.....
Chadema ni chama cha Kaskazini, na malengo yake makuu ni uchumi na kukipasha joto CCM isilale usingizi wa pono katika kuwahudumia wananchi. Yaani kulikuwa na win-win kati ya chadema na CCM, hata Nyerere alikipenda chadema kuliko vyama vingine vya upinzani kwa sera zake.
Baada ya wahuni akina Heche kumpora Mbowe chama, sasa hivi ni Heche na Lissu tu m wanaokifaidi chama kiuchumi na kujulikana.
Lazima chama kirudi kwa wenyewe wa kaskazini na waKKKT kiendelee na malengo yake. Maana Mzee Mtei, Mbowe na Makani hawezi kuanzisha chama ambacho kinaweza kutumika kuichoma moto nchi yote kabisa kama hivi:
View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635
Nchimbi naye alikuwa huru? Yuko wapi.Tatizo mmezoea kuficha uovu akitokea mtu akasema wazi mnamuona mbaya.
Kama Lema ana maswali anauliza, kwanini anayeulizwa hayo maswali asijibu biashara iishe?
Kuendelea kumkingia Heche kifua kwa kumponda Lema kila anallsema kisa sijui aliwahi kufanya au kusema kitu gani siku za nyuma ni utoto, uchanga wa demokrasia.
Lema ana haki ya kuongea kama mtu mwingine yeyote, kumtengenezea speculations badala ya kumuacha anayeulizwa ajibu, ni kulea tatizo.
Kiongozi yeyote ana wajibu wa kutoa majibu kila anapoulizwa maswali, kuendelea kunyamaza na kujificha kwenye kivuli cha machawa wamjibie hakutasaidia.
Tulia kwenye mada yako wewe dhaifu wacha kuhangaika na Dr. Nchimbi.Nchimbi naye alikuwa huru? Yuko wapi.
Kwani nani hachambui kwa mawazo yake we zezeta la Lumumba.Tulia kwenye mada yako wewe dhaifu wacha kuhangaika na Dr. Nchimbi.
Kama una shida na Dr. Nchimbi nenda kaulize familia yake, i'm not one of them.
Kama ndio huo ujinga mliozoea kujazana vichwani kwa kumuita CCM kila anayeongea anachokiamini, endelea kuishi na ujinga wako.
Lema ana haki ya kuongeq, kama ambavyo mimi nina haki ya kuchambua kwa mtazamo wangu jambo lolote, kazi yako ni kujibu sio kutunga habari za Dr. Nchimbi.
You cowards mnataka kutengeneza chama cha mazuzu wasio hoji, amsha akili hiyo.
Mbona Nchimbi mmemziba mdomo, na Polepole yupo ikulu?Sasa kama Heche ni rafiki wa mkurugenzi wa usalama wa Taifa lema asiseme? Acheni kuziba watu midomo
Huoni unavyomkimbilia Dr. Nchimbi unaacha kujadili mada yako.Kwani nani hachambui kwa mawazo yake we zezeta la Lumumba.
Usinipangie cha kujadili.Huoni unavyomkimbilia Dr. Nchimbi unaacha kujadili mada yako.
Nakwambia mara ya tatu, siogopi kudhaniwa mimi CCM na mjinga kama wewe, au wenzio, najua nao wapo cuz mnafanana kama misukule.
Mimi nitahoji milele, sitishwi na kiazi cha sampuli yako/ yenu. Lema anauliza ajibiwe, unabanwa kidogo unaanza kutoa upepo wa Dr. Nvhimbi.
Mko JF miaka but bongo haziongezeki, ni kupiga ramli tu kama waganga wa kienyeji.
Hata ukidhaniwa ni CCM huna impact yeyote.Huoni unavyomkimbilia Dr. Nchimbi unaacha kujadili mada yako.
Nakwambia mara ya tatu, siogopi kudhaniwa mimi CCM na mjinga kama wewe, au wenzio, najua nao wapo cuz mnafanana kama misukule.
Mimi nitahoji milele, sitishwi na kiazi cha sampuli yako/ yenu. Lema anauliza ajibiwe, unabanwa kidogo unaanza kutoa upepo wa Dr. Nvhimbi.
Mko JF miaka but bongo haziongezeki, ni kupiga ramli tu kama waganga wa kienyeji.
Usi-panic utulie, zezeta ndio nani wewe kiazi.Kwani nani hachambui kwa mawazo yake we zezeta la Lumumba.
Umeshasahau kujadili mada yako, una kichwa cha panzi wewe mpiga ramli.Usinipangie cha kujadili.
Hata ukidhaniwa ni CCM huna impact yeyote.
Mjinga mama yako ngoja tuelekee unakotaka.Usi-panic utulie, zezeta ndio nani wewe kiazi.
Mmejaa ujinga miaka mibgi sana, hambadiliki, mnataka kumfunga mtu mdomo kisa tu anauliza maswali.
Mazezeta ni nyie mnaoishi kwa speculation kama wapiga ramli humu ndani, hamumtishi mtu mjue hivyo.
Niite CCM, asiejulikana, na vingine.... milele nitahoji, i'm not a slave like you cowards msiotaka watu wahoji.
Wafikishie huu ujumbe wajinga wenzio wote wenye mawazo ya giza kama yako.
Nilijua tu hauna kitu kichwani.Mjinga mama yako ngoja tuelekee unakotaka.
Kwani Lema ni nani anajichoresha tu. Busara imefikia kikomo upande wake.Tatizo la Lema na Chadema kwa ujumla ni kila mtu kuwa msemaji wa mambo ya chama kitu ambacho CCM wamefanikiwa kuzima.
Lema kila siku yuko social media, kila issue anajibu ndio maana lazima utaongea hata yasiyotakiwa. Kama suala la Lissu kutoa pole limepostiwa na Brenda inatosha yeye ana repost basi.
Law 4: Always say less than necessary!!
Lengo la Chadema ni kushika DOLA siyo kupasha joto, labda CHAUMMAHakuna chama cha kupasha joto ili chama kingine kiendelee kutawala.
Alichosema ni Ukweli au Uongo ?..Jana Lema kasema Heche huwa anafanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, DGIS.
Tnakubali kabisa Lissu ni msomi, na akili sanaSiku zote ukitaka kuua hakikisha unawachonganisha wagombane wenyewe Kwa wenyewe. Hata Lisu kutoa zile kauli za kukinukisha ilikuwa ni kosa kubwa sana hata kama ilikuwa sio Nia kamili lazima wajuwe kuwa wawe makini sana na nini wanaongea maana ni watu wanaowindwa sana wakosee hata Kwa maneno.
The guy is an average person who is highly overrated. Naye kwa ujinga anafikiri ni mtu muhimu sana kwenye chama.Lema kila siku yuko social media, kila issue anajibu ndio maana lazima utaongea hata yasiyotakiwa. Kama suala la Lissu kutoa pole limepostiwa na Brenda inatosha yeye ana repost basi.
Iwe kweli au uongo ametumia platform isiyo sahihi.Alichosema ni Ukweli au Uongo ?..