Lema ana malengo gani na CHADEMA? Matendo yake yanatia wasiwasi

Hakuna chama cha kupasha joto ili chama kingine kiendelee kutawala.
 
Tatizo mmezoea kuficha uovu akitokea mtu akasema wazi mnamuona mbaya.

Kama Lema ana maswali anauliza, kwanini anayeulizwa hayo maswali asijibu biashara iishe?

Kuendelea kumkingia Heche kifua kwa kumponda Lema kila anallsema kisa sijui aliwahi kufanya au kusema kitu gani siku za nyuma ni utoto, uchanga wa demokrasia.

Lema ana haki ya kuongea kama mtu mwingine yeyote, kumtengenezea speculations badala ya kumuacha anayeulizwa ajibu, ni kulea tatizo.

Kiongozi yeyote ana wajibu wa kutoa majibu kila anapoulizwa maswali, kuendelea kunyamaza na kujificha kwenye kivuli cha machawa wamjibie hakutasaidia.
 
Nchimbi naye alikuwa huru? Yuko wapi.
 
Nchimbi naye alikuwa huru? Yuko wapi.
Tulia kwenye mada yako wewe dhaifu wacha kuhangaika na Dr. Nchimbi.

Kama una shida na Dr. Nchimbi nenda kaulize familia yake, i'm not one of them.

Kama ndio huo ujinga mliozoea kujazana vichwani kwa kumuita CCM kila anayeongea anachokiamini, endelea kuishi na ujinga wako.

Lema ana haki ya kuongeq, kama ambavyo mimi nina haki ya kuchambua kwa mtazamo wangu jambo lolote, kazi yako ni kujibu sio kutunga habari za Dr. Nchimbi.

You cowards mnataka kutengeneza chama cha mazuzu wasio hoji, amsha akili hiyo.
 
Kwani nani hachambui kwa mawazo yake we zezeta la Lumumba.
 
Kwani nani hachambui kwa mawazo yake we zezeta la Lumumba.
Huoni unavyomkimbilia Dr. Nchimbi unaacha kujadili mada yako.

Nakwambia mara ya tatu, siogopi kudhaniwa mimi CCM na mjinga kama wewe, au wenzio, najua nao wapo cuz mnafanana kama misukule.

Mimi nitahoji milele, sitishwi na kiazi cha sampuli yako/ yenu. Lema anauliza ajibiwe, unabanwa kidogo unaanza kutoa upepo wa Dr. Nchimbi.

Mko JF miaka but bongo haziongezeki, ni kupiga ramli tu kama waganga wa kienyeji.
 
Usinipangie cha kujadili.
Hata ukidhaniwa ni CCM huna impact yeyote.
 
Kwani nani hachambui kwa mawazo yake we zezeta la Lumumba.
Usi-panic utulie, zezeta ndio nani wewe kiazi.

Mmejaa ujinga miaka mibgi sana, hambadiliki, mnataka kumfunga mtu mdomo kisa tu anauliza maswali.

Mazezeta ni nyie mnaoishi kwa speculation kama wapiga ramli humu ndani, hamumtishi mtu mjue hivyo.

Niite CCM, asiejulikana, na vingine.... milele nitahoji, i'm not a slave like you cowards msiotaka watu wahoji.

Wafikishie huu ujumbe wajinga wenzio wote wenye mawazo ya giza kama yako.
 
Mjinga mama yako ngoja tuelekee unakotaka.
 
Mjinga mama yako ngoja tuelekee unakotaka.
Nilijua tu hauna kitu kichwani.

Umeanza kuniita zezeta nakucheki tu, now unaanza kutoa upepo.

Wewe ni mpiga ramli usie na uwezo wa ku argue na mimi.

Eti "unataka twende huko" niende wapi na wewe? mimi sitembei na mjinga kama wewe asiyetaka watu wahoji!.

Nenda kakae na wapiga ramli wenzio muendelee kumuita kila anayehoji CCM.

Huna akili. Mimi simtaji mama yako cuz i don't have to!.
 
Kwani Lema ni nani anajichoresha tu. Busara imefikia kikomo upande wake.
 
Tnakubali kabisa Lissu ni msomi, na akili sana
Lakini sio mwanasiasa, ndio maana huwa anaongea kwa kufokafoka, maana yake anashindwa kutofautisha kuwa mwanasiasa na kujua nini cha kuongea kwa wakati muafaka unaoendana na muda.
Kusema kukinukisha, tutazuia uchaguzi usifanyike na kutambua tutaumizwa ni dhahiri alichosema kilitafsiriwa moja kwa moja na wananchi kuwa ni kuwasha moto.
Na kweli moto uliwashwa na watu waliumia
Sasa mpaka hapo tayari kuna Circumstantial evidence
 
Lema kila siku yuko social media, kila issue anajibu ndio maana lazima utaongea hata yasiyotakiwa. Kama suala la Lissu kutoa pole limepostiwa na Brenda inatosha yeye ana repost basi.
The guy is an average person who is highly overrated. Naye kwa ujinga anafikiri ni mtu muhimu sana kwenye chama.

Kuna watu waliokijenga hiki chama kwa mali na damu lakini wakalazimika kuondoka kutokana na majungu ya huyu mtu na ndugu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…