Lema ana malengo gani na CHADEMA? Matendo yake yanatia wasiwasi

Umejiuliza kama ndivyo CCM hawana sababu ya kulala na viatu.Relax maana adui yako dawa yake njaa.
 
Kosa lipi wewe nenda katoe ushahidi Mahakamani unafikiri kauli za Lissu zinaamuluwa jf.
 
Jana Lema kasema Heche huwa anafanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, DGIS.
Kwani Nchi hii tunazuiliwa kufanya mazungumzo na viongozi wa Nchi? Especially vipindi vigumu kama hivi?
 
Machoko mpaka mnye mavi nguruwe wa kizimkazi nyinyi
 
Tatizo la Lema na Chadema kwa ujumla ni kila mtu kuwa msemaji wa mambo ya chama kitu ambacho CCM wamefanikiwa kuzima.
Unajuwa CCM wamefanikiwaje "kuzima"?
Kwa sababu wanayo mapande ya minofu ya kuwajaza midomoni watu kama akina Lemaa.

Sasa niambie kama akina Nchimbi kweli kama walizuiwa walipokataa minofu kuziba midomo yao.

CHADEMA hawamnma minofu ya kuwatupia akina Lema.

Kwa maana hiyo, siamini kuwa CCM wamefanikiwa.
 
Hakuna chama cha kupasha joto ili chama kingine kiendelee kutawala.
Nyerere alikuwa anapenda CCM na CHADEMA viwe vyama vikuu viwili nchini vipokezane Ikulu badala ya kuwa na utitiri wa vyama. Alikuwa anataka chadema kianzie bungeni kwanza kwa kuwa na wabunge wengi wakati kinaendelea kukua na kukomaa.kuweza kuongoza nchi. Na chadema ile ilikua inaelekea huko taratibu. Kuna viongozi wa serikali vichaa ambao walikuja kuharibu ukuaji huu wa chadema wakaanza kuengua wagombea lakini na wagombea wa chadema wakawa wanarudi CCM kuunga juhudi.
 
KAma kukinukisha alikuwa akimaanisha kujamba, hakuna anaejamba halafu akaumizwa, na kuna sehemu anasema wanaweza kutuua kama tukikinukisha vile.
 
Kuhoji siyo tatizo tatizo ni pale unapohoji mitandaoni wakati fursa ya kuhoji kwenye vikao unayo
 
Kuna watu waliokijenga hiki chama kwa mali na damu lakini wakalazimika kuondoka kutokana na majungu ya huyu mtu na ndugu zake.
katika watu unaosema, tuongee ukweli, lissu na heche hawapo humu kabisa
 
Chadema ni chama cha Edwin Mtei ndugu yao akina Lema na Mbowe. TLP ni ya Mrema, DP ya Mtikila, CCM ya Nyerere, UMD ya Momose, CUF ya....

Chadema lazima kirudi kwa wenyewe kabla hakijafutwa kabisa. Heche na Lissu na Sugu na wengine walishanufaika nacho kwa kuwapa ubunge, hawana madai mengine.
 
Kama anafanya mawasiliano ya siri na Viongozi wakuu wa serekali tukae kimya.
Kuna mambo ya kuweka public na ofisini au vikao and it is not the right time kwake kama kiongozi kusema vitu kama hivyo huku akijua wazi Mkiti na MMKiti wana wanakesi mahakamani they can't fight two wars at one time.
 
haya ndiyo wanayoyajuwa watu wasiokula ugali wa mahindi?
Nilishaacha kuhangaika na kupoteza muda na watu wa aina yako siku nyingi; hata kabla ya wale akina "Rear Admiral" na wenzao uliowaorodhesha hawajafanya kazi iliyotukuka Oktoba 2025.

Sijui kama hadi sasa bado unajipongeza kwa taarifa hiyo uliyoitoa wakati huo na ikatimia vilevile kama ulivyoielezea wakati huo!
 
The guy is an average person who is highly overrated. Naye kwa ujinga anafikiri ni mtu muhimu sana kwenye chama.

Kuna watu waliokijenga hiki chama kwa mali na damu lakini wakalazimika kuondoka kutokana na majungu ya huyu mtu na ndugu zake.
Nonsense, hakuna aliye special zaidi ya mwingine Chadema.

Kile chama kimejengwa na wengi, na wengine ni marehemu by now.

Lema ana haki ya kuhoji kama ambavyo wengine wote wana haki hiyo pale Chadema.

Hoja ya "u special" unayoileta hapa ni ya kijinga kabisa isiyo na maana, inayotaka kuleta makundi.
 
Kwa ni Katiba ya Chadema hairuhusu wanachama kuzungumza au kuandika wanayoyaamini kwa sababu yataumiza hisia za watu fulani?
 
Ukiskiaga Chadema kisimi kinakucheza saanaa wewe mkata viuno hodari Sana hapo lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…