Lema ana malengo gani na CHADEMA? Matendo yake yanatia wasiwasi

Kuna mambo ya kuweka public na ofisini au vikao and it is not the right time kwake kama kiongozi kusema vitu kama hivyo huku akijua wazi Mkiti na MMKiti wana wanakesi mahakamani they can't fight two wars at one time.
Muasisi wa no reforms no election ni Lissu wakati wa Mbowe. Hata hivyo. Mbowe na Lema hawakujuwa kama Lissu alimaanisha yale ya Oct29. Kama ujuavyo Lissu haambiliki kwakuwa anajiona anajua sana kila kitu. Hukuna anaeweza kumwambia hiyo NO akakubali. Ile hotuba yake ya trh 3 April iliyomtia matatani hakushauriana na yeyote aseme kama vile, ila alikuwa anajua hayuko peke yake, kuna makundi nje ya chadema yalikuwa yakiunga mkono alichokuwa akisema.

Makundi ya nje ya chadema kama vile madhehebu na wafanyabiashara wakubwa ambayo yako karibu zaidi na Heche ndiyo yanayomkera Lema na Mbowe.
 
Kwa sababu Heche anapata uungwaji mkono na kuonekana kama ni mkubwa kwenye chama kuliko Lema.

walipokuwa kwenye Operation ya Chama mikoani Heche alipata coverage kubwa kuliko Lema na alipewa attention na media ya chama chake kubwa kuliko Lema hapo ndipo vita ilianzia.
Wanasiasa wana ego kubwa kuliko jamii nyingine yoyote wakiona umaarufu wao uko threatened huanzisha vita.
Kwa sasa CDM hawana cha kupigania zaidi ya chama chao na nafasi za uongozi ndani ya chama chao hivyo vita ni kubwa zaidi within.
Wangekuwa wako majimboni wanapambana na vyama vingine atmosphere ingekuwa tofauti.
 
Inashangaza wanaharakati na wanachama wengine mnamshambulia Lema ila mkijibiwa mnapanik balaa. Mbowe kawagusa kidogo tu kuhusu Heche mmepata taharuki. Mkitaka amani ndani ya CHADEMA achaneni na kina Kimambi, Maria na Sativa. Hao wanatukana hadi viongozi wenu waandamizi.
 
Kwa ni Katiba ya Chadema hairuhusu wanachama kuzungumza au kuandika wanayoyaamini kwa sababu yataumiza hisia za watu fulani?
Hakuna mtu anayekatazwa kuongea ila unaongea nini wapi na kwa wakati gani.
 
Muasisi wa NRNE siyo Lissu ni Mbowe.
 
Vyama hivi ni kama saccos za waanzilishi na viongozi. Ukishavikatia ruzuku ambayo waliizoea umeviua. Faida kubwa ya wanachama wake ni kugombea ubunge, udiwani na Urais. Hivyo akitokea mtu akasema sahauni kugombea ubunge na uwidiwani mtu huyo atakuwa ametenda kosa kubwa sana. Akina Lissu wana namna nyingine ya kupata pesa kitoka huko kwa wqzungu lakini wanachama hawana fursa hiyo, kuwaambia wasigombee maana yake huwatakii mema wao na familia zao.
 
Team mwamba
 

Yeye aliulizwa kuhusu Passport yake.na sio kuhusu passport ya heche.
Angeweza kujibu bila kuhusisha mtu mwingine
 
Haya unayosema yalikuwa maazimio ya Ccm na Chadema au maazimio ya Nyerere tu?
Na haya maazimio yalifanyikia ukumbi gani? Na ilitakiwa viwe vinapokezana baada ya muda gani?
 
Mpinzani wa kweli ni TL tu, I can bet a house on him. Wengine wote hawajafikiwa bei tu au hawaitajika. Wakifikiwa bei wanawaacha mchana kweupe.
 
Haya unayosema yalikuwa maazimio ya Ccm na Chadema au maazimio ya Nyerere tu?
Na haya maazimio yalifanyikia ukumbi gani? Na ilitakiwa viwe vinapokezana baada ya muda gani?
Wakubwa zsko wanayajua haya, uwe na tabia ya kuuliza waliokutangulia. Mwl Nyerere alipokuwa anaulizwa maoni yake kuhusu ujio wa vyama vingi yeye alisikika akisema anakerwa ma utitiri wa vyama vya siasa. Akasema amesoma Katiba za vyama vyote lakini akaona chadema ina Katiba nzuri kuliko vyama vingine, na yeye alisema chadema iongeze nguvu zaidi kwenye kupata wabunge wengi maana unaweza kushinda Urais wakati huna wabunge utaunda vipi serikali? NA alisema bungeni ni muhimu zaidi kuliko Ikulu maana sera, sheria. Mipango na bajeti nzuri na mbaya zinapota, kupingwa na kurekebishwa bungeni sio Ikulu.
 
nani anakutia wasi wasi hapo kati ya Lema na anaewasiliana na mkuu wa wasiojulikana
 
Hivi lengo la Lema kwa chama ni nini haswa, kukisambaratisha, kuonyesha umma Heche hafai au kuonyesha bila yeye hakuna chama.
Lema ni mtu mwenye chuki na wivu mkubwa kwa watu wanaomzidi, tayari Lema ameona Heche yuko mbele yake, na haya ndio anayoyafanya kwa Zitto.
 
Yeye aliulizwa kuhusu Passport yake.na sio kuhusu passport ya heche.
Angeweza kujibu bila kuhusisha mtu mwingine
Mdomo ni mali yake, asipangiwe matumizi.

Heche sio bubu, nae ana mdomo wake autumie, sio mjigeuze wasemaje wake.
 
Mange aliposema Lema amenunuliwa sikuamini,ila sasa kupitia matendo yake nimeamini
 
Waanzilishi wa CDM karibu wote walishakufa. Hii vita inasababishwa ego za kisiasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…