Lema ana Mpango Ovu tu, kwann alipost ile nyaraka ya AI inayohusu Passport ya HECHe ?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Yaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS.

Hapa LEMA alikua anajaribu kujenga ile picha ya HECHE NDIO ANAMFANYA LISSU AKATAE MAKUBALIANO, WAKATI HUOHUO ANATUMIKA NA WATU WA SAMIA.

Kila napotafakari, naona kabisa, LEMA alipost Nyaraka ya AI kwa sababu anataka kukivuruga Chama!!.
 
ok.🐒
 
Kuna watu wanamtetea umu ndani watajuwa rangi zake kesho kwenye press conference yake
tuwe wastahilivu na wenye subra,
ni muhimu sana politically speaking gentleman 🐒
 
Yaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS.

Hapa LEMA alikua anajaribu kujenga ile picha ya HECHE NDIO ANAMFANYA LISSU AKATAE MAKUBALIANO, WAKATI HUOHUO ANATUMIKA NA WATU WA SAMIA.

Kila napotafakari, naona kabisa, LEMA alipost Nyaraka ya AI kwa sababu anataka kukivuruga Chama!!.
Na nyinyi mmekuwa kama mademu, muda wote Lema this Lema that.
Niwaambie tu ukitaka kuona umuhimu wa matako kalia kichwa.
 
MANGE ANAWALISHA MATANGOPORI NA BADO MNAMWAMINI.

JUZI AMESEMA JK AMEFARIKI
 
Back
Top Bottom