Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
ok.πYaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS.
Hapa LEMA alikua anajaribu kujenga ile picha ya HECHE NDIO ANAMFANYA LISSU AKATAE MAKUBALIANO, WAKATI HUOHUO ANATUMIKA NA WATU WA SAMIA.
Kila napotafakari, naona kabisa, LEMA alipost Nyaraka ya AI kwa sababu anataka kukivuruga Chama!!.
Kuna watu wanamtetea umu ndani watajuwa rangi zake kesho kwenye press conference yakeok.π
tuwe wastahilivu na wenye subra,Kuna watu wanamtetea umu ndani watajuwa rangi zake kesho kwenye press conference yake
Na nyinyi mmekuwa kama mademu, muda wote Lema this Lema that.Yaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS.