Lema apewe heshima ya kuwa mtabiri wa taifa kisiasa

Daima ukweli hudumu dhidi ya uongo. Dhamiri za kweli huona yote yanayokuja.
 
Kwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
Acha ushabiki maandazi ipime hoja ya lema akizungumza hapo bungeni vinginevyo we utakuwa na shida kubwa hata hapo manispaa
 
Acha ushabiki maandazi ipime hoja ya lema akizungumza hapo bungeni vinginevyo we utakuwa na shida kubwa hata hapo manispaa
Bila watu wenye ubongo kama wa huyu ndugu ccm ingeshaondoshwa madarakani kitambo
 
Kwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
Utafiti ulifanyika kwa wananchama wa ccm ndio wenye umasikini uliopitiliza na walio na kipato wanalazimika kubakia ccm ili kujificha madhambi yao
 
Huyu enzi zake alimtukana sana jk na kudai eti ni raisi wa awamu moja na lowasa alivyojiunga na chadema akasema ccm inakufa mikononi mwa jk, kilichotokea wao wakahama hadi nchi na jk ndio huyu hapa jadi leo kuwa smart sio lazima ubwabwaje sana
Kwa hiyo hakuliona hili au yeye anatabiri siasa tu πŸ˜„ 🀣 mpaka kuihama nchi
 
Alimaliza kila kituπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ tumeyashuhudia na yametokea mbele ya macho yetu tukiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…