Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tuNisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini
Wapi nimemshangaa Lema? Kwanini ashindwe kusema ushoga ni dhambi? Ana beat around the bushUnamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Wew mpuuzi unataka tupate laana na Majanga kama Sodoma na Gomora Acha Bangi wew mtuYuko sahihi, umuadhibu mtu kwa kufanya maamuzi ya maisha yake mwenyewe ambayo hayana athari yeyote kwenye maisha yako kama sio uonevu ni nini?
Hapana, watu wakifukuana tope kwenye faragha zao, wewe unaathirika nini mpaka uwaue?Wew mpuuzi unataka tupate laana na Majanga kama Sodoma na Gomora Acha Bangi wew mtu
Amesema ushoga ni dhambi lakini hasapoti wauwawe msikilize tena Mbona kaongea vizuri tu?Wapi nimemshangaa Lema? Kwanini ashindwe kusema ushoga ni dhambi? Ana beat around the bush
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam wakati huo ni kipenzi cha JPM Paul Makonda na of-course rais wa nchi ni yule mchukia mabeberu hayati JPM mwaka 2018 hiyo statement ilitolewa kuwa mashoga wana haki zao na ziheshimiwe kama ilivyo kwenye makubaliano ya Umoja wa Mataifa.
Huu waraka ulimakiza Kila kitu
Lema yupo sawa. Mbona hamwakamati malaya waliotapakaa nchi nzima?Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.