FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
majinni ni sisi, tupo lakini hatuonekani. Wewe, mimi na wengi tu.Leta evidence bi mkubwa.. kwanza majini ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majinni ni sisi, tupo lakini hatuonekani. Wewe, mimi na wengi tu.Leta evidence bi mkubwa.. kwanza majini ni nini?
Kwa hiyo ushoga ndiyo dhambi pekee inayopaswa kukemewa. Tunaoukemea huo ushoga hadi kufikia kuwatoa roho hao binadamu wenzetu tuna usafi gani mbele za Mungu? Kwangu mimi ushoga si kitu kizuri hata kidogo na ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu.Wapi nimemshangaa Lema? Kwanini ashindwe kusema ushoga ni dhambi? Ana beat around the bush
Wewe ni jinni mmojawapo, unahusishwa na nani?Yanuhusishwa na wazee wa alhamdlillah je ni kweli?
😀😀Kwa hiyo ushoga ndiyo dhambi pekee inayopaswa kukemewa. Tunaoukemea huo ushoga hadi kufikia kuwatoa roho hao binadamu wenzetu tuna usafi gani mbele za Mungu? Kwangu mimi ushoga si kitu kizuri hata kidogo na ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu.
Naona umeanza kuelewa kuwa u jinni na ndiyo umeelewa ni nini maana ya jinni.Na jamii forums😀