Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Usitegemee chochote kutoka kwa Lema kupinga hili jambo in public kwa sababu kule alipo kimbilia kutafuta asylum ili uqualify kupema asylum seeker ni either uwe mkimbizi wa kisiasa au mtu ambaye usalama wake upo hatari kutokana na kujihusisha na vitendo vya usodoma katika nchi husika ,hivyo kwa Lema ku condemn matendo haya in public kutatoa tafsiri kwamba kumbe na yeye ni mkiukaji wa haki za binadamu.
Ingawa usodoma Africa haukubaliki wengi wenye mlengo kama Lema kwa sababu za masilahi binafsi hawawezi kukemea vitendo hivi wazi wazi au kuonesha msimamo wao ni upi kwa jambo hili ambalo clearly kwa tamaduni dini na desturi za kiafrica havikubaliani navyo badala yake watakuwa wakifanya danadana.
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Lema atakuwa si mkristo au haijui biblia yake kwani imeandikwa ndani ya biblia
Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)
![]()
Bwana Yesu kasema hakuja kuondoa sheria
![]()
Vita yetu si juu ya nyama wala damu,bali ni dhidi ya ufalme wa giza,pia kumbuka usihukumu usije kuuhukumiwa mana kipimo umpimiacho mtu ndicho hicho hicho nawe itapimiwa.
Kristo alionyesha mfano mzuri kwa kusema wazima hawahitaji daktari bali wagonjwa,ndio mana alikula na kunywa na makahaba na kuwa hubiria habari njema ya wokovu.
Kama moto wa sodoma ulishindwa kuwamalisa mashoga unadhani hiyo approach itafanya kazi?
Tuwekee hapa hiyo SheriaSheria ipo
Suggest namna ya kumshughulikiaAmepinga adhabu ya kuua!
Kwani shoga lazima auawe hakuna namna nyingine ya kumshughulikia akome ubishi
Vita yetu si juu ya nyama wala damu,bali ni dhidi ya ufalme wa giza,pia kumbuka usihukumu usije kuuhukumiwa mana kipimo umpimiacho mtu ndicho hicho hicho nawe itapimiwa.
Kristo alionyesha mfano mzuri kwa kusema wazima hawahitaji daktari bali wagonjwa,ndio mana alikula na kunywa na makahaba na kuwa hubiria habari njema ya wokovu.
Kama moto wa sodoma ulishindwa kuwamalisa mashoga unadhani hiyo approach itafanya kazi?
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Sio Mkristo Wewe ni MpaganiYuko sahihi, umuadhibu mtu kwa kufanya maamuzi ya maisha yake mwenyewe ambayo hayana athari yeyote kwenye maisha yako kama sio uonevu ni nini?
badilisha title yako, kwa nini unasisitiza tamko lake la ushoga wakati amezungumza vizuri tu kwa dhambi zoteNisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.