Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Though it was an old testament, but still its able to depict the things happening currentlyWhat is the meaning of Leviticus 20 15?
If a man has sexual intercourse with an animal, he must be put to death; you are also to kill the animal. NLT 'If a man has sex with an animal, he must be put to death, and the animal must be killed.
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Nadhan anatembea na SheriaBiblia inasema watu wanaofanya makosa mengi tu wauawe, wakati sheria hazisemi hivyo.
Leviticus 20:13.
“If a man has sexual relations with a man as one does with a woman, both of them have done what is detestable. They are to be put to death; their blood will be on their own heads.”
Sasa hapo anakubali Biblia au sheria?
exactlly!!Biblia inasema watu wanaofanya makosa mengi tu wauawe, wakati sheria hazisemi hivyo.
Leviticus 20:13.
“If a man has sexual relations with a man as one does with a woman, both of them have done what is detestable. They are to be put to death; their blood will be on their own heads.”
Sasa hapo anakubali Biblia au sheria?
Una uhakika hakuna sheria inayokataza kuingiliana kinyume na maumbile?Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Mungu mwenyewe si awaue? Kwani hawaoni? Tuue halafu mwisho wa siku akatuchome moto.Lema atakuwa si mkristo au haijui biblia yake kwani imeandikwa ndani ya biblia
Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)
![]()
Bwana Yesu kasema hakuja kuondoa sheria
![]()
Hata serikali yako inaogopa kutamka hadharaniWapi nimemshangaa Lema? Kwanini ashindwe kusema ushoga ni dhambi? Ana beat around the bush
Kuuwa watu nayo ni laana sijui kama kuna imani inayo ruhusu watu kuuanaWew mpuuzi unataka tupate laana na Majanga kama Sodoma na Gomora Acha Bangi wew mtu
Kwani Mungu ndivyo alivyokuambia??? Andiko lililesa hili ni la walawi tu ??Mungu mwenyewe si awaue? Kwani hawaoni? Tuue halafu mwisho wa siku akatuchome moto.
Halafu hilo bandiko walikuwa wanaambiwa walawi sio sie wasukuma
Mhindu akiukubali ukristo maana yake ataachana na taratibu zake za zamani atafata taratibu za kikristo.Kwani Mungu ndivyo alivyokuambia??? Andiko lililesa hili ni la walawi tu ??
Wahindu huruhusu mjomba kuoa mpwa wake. Ndugu wa mama anaweza kuoa binti yake. Sheria ya Musa amani iwe juu yake inakataza jambo hili. Uislamu pia unakataza.
Agano jipya hata halishughulikii suala hilo, kwani halishughulikii 95% ya masuala yoyote ya kijamii huko nje! Si chochote ila hadithi na simulizi ambazo hata zinapingana kuhusu Yesu, kusulubishwa kwake na kufufuka kwake.
Swali langu hapa ni:
Iwapo Mhindu mpagani anakubali ukristo, basi je, bado anaweza kuoa mpwa wake (binti ya dada yake), kwani Agano Jipya halikatazi jambo hilo?
Mhindu akiukubali ukristo maana yake ataachana na taratibu zake za zamani atafata taratibu za kikristo.
@ DemiKuuwa watu nayo ni laana sijui kama kuna imani inayo ruhusu watu kuuana
Ndo hizo sheria atafata za kikristu maana ameamua kuhamia huko . Hatafata tena mila maana ukristu hauna mila. Na mila zotr potofu zinapingwa.Kwani tunaongelea taratibu au sheria katika biblia ??
Ndo hapo biblia inapojichanya na kunichanganya mimi zaidi sijawahi kuielewa. Ni mambo mengi tu inajicontradict yenyewe.@ Demi
Wakristo lazima wafuate sheria za Agano la Kale ambazo hazijabadilishwa au kubadilishwa na mpya zaidi katika Agano Jipya.
Vinginevyo, ikiwa tungefuata Agano Jipya pekee, basi tungekuwa hatuna sheria za maisha au maelekezo ya kufuata.
Hii ina maana kama nilivyotaja hapo juu, mtoto wa kiume anaweza kuoa mke wa zamani wa baba yake, au kaka anaweza kuoa dada yake, au mjomba anaweza kuoa mpwa wake, nk... kwa vile Agano Jipya halijawahi kuzungumzia masuala haya.