Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Hapo kwenye malezi yanayofaa, kwani walikutana wapi wazazi duniani wakakubaliana kwamba malezi yanayofaa ni haya mpaka useme ni universal?Hakuna malezi anayoona mtu anafaa bali kuna malezi universal ambayo yanafaa. Kuna mzazi mpuuzi anaweza kuona kulea mtoto ili awe fala ndio malezi yake yanayofaa, lakini ukija kwenye maana ya malezi yanayofaa hayo siyo malezi yanayofaa.
I KNOW EXACTLY WHAT THE HELL I'M TALKING ABOUT.
Inshu ya malezi yanayofaa ni subjective na kila mzazi ana aina yake ya malezi anayoona inafaa kwa mwanae na hii inachangiwa na mindset ya mzazi mwenyewe.