Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

Ila Lema😂😂Ndugai sio speaker, Magufuli hayupo &Lema hadaiwi


Kutoka kua street thug hadi kua Mbunge na sasa mfanyabiashara sio jambo rahisi... jaribu ww uone
 
Tunamuongelea kichaa Lema hapa, sio mtu mwingine ebo!! Nyumbu banna!!
Amesema hivi;

Ndugai sio Spika tena....
Magufuli hayupo, is dead and buried..
Na yeye Lema hadaiwi...!

Usichoelewa ni nini hapo? Huoni kuwa wewe ndiye kichaa hasa maana hujui hata kuwa Ndugai sio Spika na Magufuli ni hayati!!!
 
eti amelipa, aseme ukweli kiinua mgongo chake cha ubunge kimefyekwa kufidia deni
 
Nimegundua Lema ameanza kuamini kuwa ana aina fulani ya "unabii"..Hii imeanza kuathiri namna anavyoongea na kufikiri..
Ni dalili mbaya ya afya ya akili ..inaitwa "delusional disorder"
Unabii gani ktk hicho alichoongea?

Ameongea fact ambayo ipo na kila mtu anajua na kuona, kwamba;

Ndugai sio Spika..
Magufuli amekufa, hayupo..

Na yeye Lema hadaiwi chochote na yeyote.!!

Zaidi sana amesema hivi;

👉Laiti kama angekuwa kwenye nafasi hiyo Tena bunge likawa linakopesha, angekopa tena na tena..

👉Si hivyo tu, kasema pia kuwa, kama wabunge wa CCM nao wangekuwa wanakopwa, angewabeba wote kama mkopo na kwenda kuwafanyia kazi muhimu 😂😂😂

Hakuna unabii hapa bali kila kitu ni halisi..
 
Sawa deputy God. Wewe na Lema ni wasaidizi wa Mungu mnajua kila mtu atakufaje.Umeandika porojo tupu.
 
Nimegundua Lema ameanza kuamini kuwa ana aina fulani ya "unabii"..Hii imeanza kuathiri namna anavyoongea na kufikiri..
Ni dalili mbaya ya afya ya akili ..inaitwa "delusional disorder"
Sio kwamba wewe ndo unaamini hivyo?
Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi , katika kipindi maarufu mwaka huo, ‘Mchakato Jimboni' kiti kama hicho, nilimsikia Lema kwa mara ya kwanza.

Alikuwa anawasilisha kwa staili hii hii “Mimi mbunge wenu...." Akiamini tayari ameshakuwa ilihali bado ni mgombea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…