Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Akienda Zanzibar anaweza pata shinikizo la moyo.

Akifika Greece anaweza pata shinikizo la moyo. Ati anashangaa ya mkoloni.

Amefika Venice huyo?



Huko mbali,amefika magogoni Dar, kuna mjengo pale kwa Nkulu.

Hata kama ana point ilimradi Nyumba ni nafuu ina kalika na kufaa kuishi na upo
upatikanaji wa miundombinu ya msingi, maji, umeme, barabara n.k na iko karibu na huduma za ajira na shule na inafaa kwa watu wa uwezo wote na inafaa na kukubalika kitamaduni...hayo ni ya msingi ambayo yanakubalika na Umoja wa Mataifa. Canada huko alipotoka, waafrika wengi tu hawana hizo nyumba anazoziita magofu. Hawana nyumba inayokubalika na Umoja wa Mataifa.
 
Hahahahaa Lema ametoka Canada hajawahi kwenda Tanga.
 
hii nchi inahitaji reformation haraka sana. hatuwezi kuendelea kuishi kama jana
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
ukitaka kutoa mwiba lazima utoboe nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…