Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Hasira zip? Na unaambiwa we ni mchaga ..

Ni kwamba hatuwezi kuongozwa na walevi hatuko obsessed na tamaa za Mali ...matapeli ,walevi kwetu noπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakatawale walevi wenzao
Acha makasiriko bwashee mimi sio mchagaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kweli umasikini huleta hasira lakini punguza jazba🀣🀣🀣
johnthebaptist
 
Punguza moshi ndg maisha ni haya hayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Punguza moshi ndg maisha ni haya hayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mjinga sana hao wangeanza kujiangalia wakicheka meno Yana kutu kwanza ni physical appearance .

Ndo maana nikfika huko kwao watu wamechakaa meno
 
Hasira zip? Na unaambiwa we ni mchaga ..

Ni kwamba hatuwezi kuongozwa na walevi hatuko obsessed na tamaa za Mali ...matapeli ,walevi kwetu noπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakatawale walevi wenzao
Bwashee bwashee acha hizo.
Mkapa alikuwa mlevi kupindukia hakutawala?
Warioba waziri mkuu aliyejilowesha mchana kweupeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nchi hii hatajesti stds za uongozi we tulia ndani ya magofu omba Mungu kimbunga Fredy asipitie hukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wangeaanza kutoaπŸ˜‚πŸ˜‚ meno ya kuchakaa kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚usafi binafsi.
 
🀩🀩🀩 Kunani Pale Tanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…