Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Hasira zip? Na unaambiwa we ni mchaga ..

Ni kwamba hatuwezi kuongozwa na walevi hatuko obsessed na tamaa za Mali ...matapeli ,walevi kwetu no😂😂😂

Wakatawale walevi wenzao
Acha makasiriko bwashee mimi sio mchaga😂😂😂😂
Ni kweli umasikini huleta hasira lakini punguza jazba🤣🤣🤣
johnthebaptist
 
We mshamba wa wapi magofu mengi ni uirth na sehemu za kihistoria mjini unakuwa kange , unataka watu wajazane pale mjini nenda kaangalie masiwani .

Pale Moshi hamna magofu na manyumba ya zamani.

Kitu lenyewe linaongea ivyo limekunywa mapombe yaani uchafu mtu ..jaribu hata kuwa msafi wa mwili basi sio jilevi linaropoka
Punguza moshi ndg maisha ni haya haya😂😂😂
 
Mjinga sana hao wangeanza kujiangalia wakicheka meno Yana kutu kwanza ni physical appearance .

Ndo maana nikfika huko kwao watu wamechakaa meno
 
Hasira zip? Na unaambiwa we ni mchaga ..

Ni kwamba hatuwezi kuongozwa na walevi hatuko obsessed na tamaa za Mali ...matapeli ,walevi kwetu no😂😂😂

Wakatawale walevi wenzao
Bwashee bwashee acha hizo.
Mkapa alikuwa mlevi kupindukia hakutawala?
Warioba waziri mkuu aliyejilowesha mchana kweupe😂😂😂

Nchi hii hatajesti stds za uongozi we tulia ndani ya magofu omba Mungu kimbunga Fredy asipitie huko😂😂😂
 
Wangeaanza kutoa😂😂 meno ya kuchakaa kwanza 😂😂usafi binafsi.
 
We mshamba wa wapi magofu mengi ni uirth na sehemu za kihistoria mjini unakuwa kange , unataka watu wajazane pale mjini nenda kaangalie masiwani .

Pale Moshi hamna magofu na manyumba ya zamani.

Jitu lenyewe linaongea ivyo limekunywa mapombe yaani uchafu mtu ..jaribu hata kuwa msafi wa mwili basi sio jilevi linaropoka
🤩🤩🤩 Kunani Pale Tanga?
 
Back
Top Bottom