Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Huyo ni fala no one is in attention to him and his nonsense
 
Wewe ni mtoto wa kitanga?!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtu msafi hawezi kumsikiliza hata appearance halina eti kiongozi ...Kwenda nje kidogo ushamba mzigo .

Hata angerudi na usafi ila bado liko ovyo linalewa linaanza kuropokaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Itabidi aanze kuuitwa Mkanada, na mimi nasema na aitwe tu, maana hakuna namna tena!
 
Si mbaki kwenu shobo za nn? Tulieni mkoani kwenu kutetea tu ...Mengi kafa iyo mijengo kazikwa nayo ?

Ushamba mzigo tulieni kwenu hatuwataki

Sipati picha nchi hii ingeongozwa na mmoja kutoka ukanda huo, hatari sana. Angalia tu nchi tangu imepata uhuru haijawahi kutokea ikaongozwa na makabila ya ukanda huo.

Kwanza TANGA haikupaswa kushare pamoja na ukanda huo wa kaskazini kutokana na maadili na desturi ya watu wa mji huo wa TANGA, ni mbingu na ardhi. Ni heri tukapata mtu wa kutuongoza from TANGA CITY na sio huko Moshi na Arusha.


Nimemaliza.
 



Jamaa ni kigeugeu kabisa...Nimekaa Tanga hao jamaa tabia zao nyingi ni za ovyo kwanza matapeli wengi ni wao .

Kula wanadharaulika hata mkutano wao wamefanya kweny uchochoro ukisema chadema au wachaga utaambiwa ni matapeli wanajulikana kwa sifa izo.

Yaani ustaarabu hawana kabisa na watu wa Tanga na ukanda huo haziendi kabisa ...Wa pwani tunaowa wao majitu ya ovyo kabisa wao wazee wa kuvaa mitumba basi utapeli ,mabangi ndo uhuni..


Watatuchukia ila sisi hatuna time nao mara ooh! Tuna pesa nan kakuomba izo pesaπŸ˜‚? Elimu ipi muache kila mtu aishi mpaka atakapokufa .....Wao kufuatilia mambo haywahusu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…