Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wewe kimaisha unanizidi nn ?ebu jaribu hata usafi wa mwili angalau.
Tunajibishana na katoto hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajibishana na katoto hapa
Huyo ni fala no one is in attention to him and his nonsenseMjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu
Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa
Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa
Mh Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema
Mungu ni Mwema wakati Wote!
Wewe ni mtoto wa kitanga?!!😂😂😂Huyo ni fala no one is in attention to him and his nonsense
🤩🤩 Watanga tutafahamiana hapa!comedian lema
Mtu msafi hawezi kumsikiliza hata appearance halina eti kiongozi ...Kwenda nje kidogo ushamba mzigo .Wewe ni mtoto wa kitanga?!!😂😂😂
Ni kweli,Umasikini ni dhambi
Itabidi aanze kuuitwa Mkanada, na mimi nasema na aitwe tu, maana hakuna namna tena!Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu
Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa
Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa
Mh Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema
Mungu ni Mwema wakati Wote!
😂😂😂😂Cha kusikitisha amesema tanga na watu wake watumike Kama watu wa kale wazungu waende kuwashangaa
Si mbaki kwenu shobo za nn? Tulieni mkoani kwenu kutetea tu ...Mengi kafa iyo mijengo kazikwa nayo ?
Ushamba mzigo tulieni kwenu hatuwataki
Hakuna anayetetea umasikini.
Sipati picha nchi hii ingeongozwa na mmoja kutoka ukanda huo, hatari sana. Angalia tu nchi tangu imepata uhuru haijawahi kutokea ikaongozwa na makabila ya ukanda huo.
Kwanza TANGA haikupaswa kushare pamoja na ukanda huo wa kaskazini kutokana na maadili na desturi ya watu wa mji huo wa TANGA, ni mbingu na ardhi. Ni heri tukapata mtu wa kutuongoza from TANGA CITY na sio huko Moshi na Arusha.
Nimemaliza.
😀Cha kusikitisha amesema tanga na watu wake watumike Kama watu wa kale wazungu waende kuwashangaa
Hakuna kukwepa!Lema anapiga za mbavu tu na za kichwa.