Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni mpinzani wa kweli, hii haiwezi kutokea!.Lisu anaenda Ccm
Anaogopa yasije mkuta ya chacha Wangwe,mzee Mbowe sio kabisa.Kwanini lissu afanye mkutano nje ya ofisi ya chama chake kutangaza Nia ?
Kwa huu uhuni naomba CCM iendelee kutuibia kura maana sisi wenyewe hatuamini demokrasia. Sasa mtu katangaza nia tayari anaonekana kaa anavuruga uchaguzi!! Mbona huko Uingereza conservatives walichukua fomu watu 8 wakasigana mwaka mzima akapatikana mwenyekiti mmoja. Cha ajabu chadema inaonekana ni usalitiMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼
Jumaa Mubarak 😂
Chadema siasa sa ukabila na ukanda zitawamaliza si muda mrefu. Mtakuwa kama chama cha cheyo. No huzuni kuona mnaelekea huko. Jina la chama halina uhalisia na demokrasia inayotakiwa ndani ya chama. Mtu anatangaza kugombea mnaanza kumzodoa. Ni aibu sana!!!! Je tusemeje kuhusu CDM? Je ni CCM B ?Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼
Jumaa Mubarak 😂
Mzee Mbowe yeye anajifanya haoni siasa za ukanda za chama chake zaidi ya kuangalia tumbo lake na familia.Wanaoshangaza ni hao wanaomshabikia mjinga kama Mzee Mbowe .Sijui wamewekewa nini aisee?Chadema siasa sa ukabila na ukanda zitawamaliza si muda mrefu. Mtakuwa kama chama cha cheyo. No huzuni kuona mnaelekea huko. Jina la chama halina uhalisia na demokrasia inayotakiwa ndani ya chama. Mtu anatangaza kugombea mnaanza kumzodoa. Ni aibu sana!!!! Je tusemeje kuhusu CDM? Je ni CCM B ?