Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini lissu afanye mkutano nje ya ofisi ya chama chake kutangaza Nia ?
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Kwa huu uhuni naomba CCM iendelee kutuibia kura maana sisi wenyewe hatuamini demokrasia. Sasa mtu katangaza nia tayari anaonekana kaa anavuruga uchaguzi!! Mbona huko Uingereza conservatives walichukua fomu watu 8 wakasigana mwaka mzima akapatikana mwenyekiti mmoja. Cha ajabu chadema inaonekana ni usaliti
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Chadema siasa sa ukabila na ukanda zitawamaliza si muda mrefu. Mtakuwa kama chama cha cheyo. No huzuni kuona mnaelekea huko. Jina la chama halina uhalisia na demokrasia inayotakiwa ndani ya chama. Mtu anatangaza kugombea mnaanza kumzodoa. Ni aibu sana!!!! Je tusemeje kuhusu CDM? Je ni CCM B ?
 
Mzee Mbowe yeye anajifanya haoni siasa za ukanda za chama chake zaidi ya kuangalia tumbo lake na familia.Wanaoshangaza ni hao wanaomshabikia mjinga kama Mzee Mbowe .Sijui wamewekewa nini aisee?
 
Back
Top Bottom